eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Watu wanataka hati ya mashamba ya mkonge..hIzi ni sinema tu
Zilimshinda African Lyon na Singida United. Yeye kafuata Brand ya Simba ambayo kwayo itampaisha balaa kimapato.Simba na yanga ni serikali,,,bora akaanzishe team yake
Acheni kauli za bibaguzi huyu ni mtanzania mwenzetu aliyezaliwa kata ya ipembe singida, mtaa wa kambi ya fisi opposity na soko kuu, hata india hajawahi kufika.Baada ya serikali kudai wanahisa wanatakiwa wawe zaidi ya 3 ktk hio 49%, Kitacho tokea ni kwa kuzigawanya hizo familia yake na kampuni yake kisha ye kujitoa na kukaa kando akisikilizia. Ikifika muda wa uchaguzi anachukua form na kugombania uraisi wa timu ya Simba.Kwa vyovyote hapo wanachama watamchagua na atapita.Sasa jiulize,aslimia 49% iko kwenye familia yake,na hapo hapo yeye ndo raisi wa timu,kuna nini kama sio kumiliki timu.CHEZEA MUHINDI WEE!!!.
Sasa mi nawashangaa sana wabongo, kilabu si kilikuwa chini ya uongozi wa wanachama na serikali. Hakukuwa na maendeleo yeyote zaidi ya siasa ila ametokea mtu mwenye interest aendeshe kilabu hicho na fedha anazo hayo malumbano ni ya nini?
Kwahio mnataka jamaa aweke hela zake ila maamuzi ya uendeshaji mfanye wengine?! Mi ninaipenda Simba ila upumbavu unaofanyika wa kuvutana mashati ndio siupendi.
Kama muhindi ameonesha uwezo na kuipa tumaini jipya Simba mwacheni aongoze timu na mnajua kabisa akijitoa timu itakuwa hoi sana maana hao wanachama wengi njaa tu maneno mengii. Huu ndio upumbavu unaolikwamisha taifa letu katika mambo mengi tu...wenye uwezo kunyimwa nafasi makusudi.
mkuu WaTanzania ndivyo tulivyo.....shida zetu huwa tunatafuta sehemu pa kuzitulia, we are low minded peopleAcheni kauli za bibaguzi huyu ni mtanzania mwenzetu aliyezaliwa kata ya ipembe singida, mtaa wa kambi ya fisi opposity na soko kuu, hata india hajawahi kufika.
...... serikali iwekeze pesa kwenye michezoKuliko kulia lia na serikali ni bora wanasimba wafanye hivyo..sheria upingwa kwa sheria..japo hii sio sheria ni poroja tu za waziri..
Yani bure kabisaaa!Mkuu ndio maanaaa hii nchi inatambaa tangu kuumbwa kwake .
Kuna wenzetu vichwani kwao ni ugoroo tuuu
Sasa mi nawashangaa sana wabongo, kilabu si kilikuwa chini ya uongozi wa wanachama na serikali. Hakukuwa na maendeleo yeyote zaidi ya siasa ila ametokea mtu mwenye interest aendeshe kilabu hicho na fedha anazo hayo malumbano ni ya nini?
Kwahio mnataka jamaa aweke hela zake ila maamuzi ya uendeshaji mfanye wengine 😂😂😂?! Mi ninaipenda Simba ila upumbavu unaofanyika wa kuvutana mashati ndio siupendi.
Kama muhindi ameonesha uwezo na kuipa tumaini jipya Simba mwacheni aongoze timu na mnajua kabisa akijitoa timu itakuwa hoi sana maana hao wanachama wengi njaa tu maneno mengii. Huu ndio upumbavu unaolikwamisha taifa letu katika mambo mengi tu...wenye uwezo kunyimwa nafasi makusudi.
Hata haya mshindano stars inashiriki naona kazi bure tu, timu hata kuweka kambi ni shida mtu anahangika na clubUjinga tuu, hiyo serikali kwa miaka yote wamefanya kipi kuziendeleza hizi simba na yanga. ? .
Taifa stars imewashinda ila bado wanakodolea macho simba na yanga.