Elections 2010 Janja ya CCM tumeigundua

Discoverer

Member
Jul 16, 2009
58
12
Kitendo cha CCM kutangaza nafasi ya spika, ni katika harakati zake za ku ondoa attention ya watu kwenye uchaguzi mkuu na kuanza ku discuss uspika, ndo maana kina Chenge,Kilango et al wamechukua fomu.
Yote hii ni kupoza joto la uchaguzi mkuu. Wananchi na wapenda demokrasia msidanganyike vidonda vya uchaguzi mkuu bado ni vibichi sana, mapambano ya kudai haki yaendelee..........
 
Mbona imekula kwao naona watanzania wameamua kuwapotezeaaaaaaaaaaaa
Hakuna anaewapa attention
 
Wao watafute uspika sisi bado tunalia na rafu na uharamia mkuu namna hii wa kura zetu nasubiri maelekezo tu kuwa nini kifanyike ila mtu asiniambie jk ni rais amechaguliwa na watz hapo siiiiiiiipo naomba nieleweke hivyo.
 
Back
Top Bottom