Wananchi wenzetu waliokumbwa na mafuriko ya hivi majuzi mjini DSM wameamua kurejea huko mabondeni na kukaidi amri ya serikali kuwakataza kuendelea kuishi huko.Wengi wao hasa wapangaji wanadai kwenda kumalizia kodi zao za pango. Na wenye nyumba wanaendelea kuzikarabati.
Chanzo:Magazeti ya leo.
===============
Kama kawaida utabiri wa mvua uliotolewa na TMA sasa umetimia mvua imeshaanza na ni nyingi.
Tumwombe Mungu japo yeye ndiye mtoa mvua, inyeshe lakini isilete madhara kwa wenzetu, tuvuke salama mwaka bila kuwapoteza wenzetu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA....AMEN!!
-------------------------------------
Wapendwa napita jangwani hapa naona maji yameanza tena na mvua inaendeelea kama kawa na habari zaidi zinasema
kuna walioamua kurudi jana jioni serikali mmjiandaje kuwaokoa wah wetu hawa ama mpaka tv ituonyeshe wako kwenye maji??