Janga la ajira

Janga la ajira

KIDOLEGUMBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
498
Reaction score
110
Habari wadau! Kwa kiasi kikubwa kuanzia mwaka 2000 na kuendelea ajira imekuwa ngumu sana kupatikana kiasi kwamba kipindi cha mwaka 2012 kutokana na idadi kubwa ya wahitimu wa kutoka vyuoni ,imefikia hatua ya kazi zinazotoka walianza kuhitaji watu wenye 'upper second class na first class' , kuanzia 2013 iyo ya top classes inaendelea + masters:

-Maswali yanakuja tuliobaki na lower second class na pass zetu ndo wasindikizaji tu?

-Kwa nini wasiseme tu wanahitaji degree fulani alafu kama ni kuchuja kwa mitihani au ndani ya interview kieleweke mtu umechemsha?
 
We acha tuu hya mambo n magumu kwl mwisho wa cku watahtaj watu wa masters tuu
 
uza smart phone na laptop yako ununue bodaboda ujiajiri tu!!!!!!!!!!!!!!!!
 
employment has been difficult for recent years, its disaster for our nation
 
bonge la idea mkuuu we ni geneous.........watu wameng'ang'ania vilaptop na visimu vikali halafu wanalalamika hakuna ajira...uzeni mpate mitaji.

mkuu tunawashukuru wachina kwa kutuletea affordable smart phones ambazo zinatuwezesha kuwakilisha matatizo yetu humu JF! Infact bodaboda inauzwa 1.6 mill Tsh, for a graduate to get such amount is an issue! ila tecno ya lak moja si haba !
 
Back
Top Bottom