ntamwambia mkuu.. huyo ni beki3 wetu xema huwa namwachia pc mara mjamoja akija rum kwangu.!!!
Mkuu judgement mie nimepita hapa nakusalimu na kukutakia jpili njema,kuhusu unaloongelea hapa nackitika miwan yangu ya mbao ina hitilafu ni muda sasa ndio maana cjafanikiwa kuona hizo sred na muhusika pia!
Anatafuta muhogo kwa sababu mme wake amfikishi kwa mujibu wake!
Mkuu judgement mie nimepita hapa nakusalimu na kukutakia jpili njema,kuhusu unaloongelea hapa nackitika miwan yangu ya mbao ina hitilafu ni muda sasa ndio maana cjafanikiwa kuona hizo sred na muhusika pia!
jana kalikuja na thread eti kakake kamfumania demu wake analiwa denda na dereva wa daladala ..basi ile thread kakaitembeza karibu jukwaa zote mbaka sheria..nahisi ali bemendwa af kanatafuta umaarufu..kameingi hata mwezi hakana lakini wamempa u"JF sENIOR Expert Member" hata sijui kanaliwa na mods ndo mana wamekatunuku hako kacheo ka ukuu wa wilaya..hata sielewi
Tbag! Ndo yule2 wa prison break?jana kalikuja na thread eti kakake kamfumania demu wake analiwa denda na dereva wa daladala ..basi ile thread kakaitembeza karibu jukwaa zote mbaka sheria..nahisi ali bemendwa af kanatafuta umaarufu..kameingi hata mwezi hakana lakini wamempa u"JF sENIOR Expert Member" hata sijui kanaliwa na mods ndo mana wamekatunuku hako kacheo ka ukuu wa wilaya..hata sielewi
Tbag! Ndo yule2 wa prison break?