jane-000 hitaji lako limejibiwa

Atakuwa ameteleza kidogo last time i checked alitoa twisheni ya kizungu kwa Young Master.

anatumia phone jamani, so ni rahisi kuteleza... ngoja afike kwenye laptop yake ndiyo mtanaona kizungu chake jinsi kilivyo bab' kubwa
 
hehe mambo wifi? Erick anafanikisha ndoa hii, mumfanye awe msemaji wa familia kwenye harusi yako na nitonye
Haaahaa we si umekiri hali zao mahututi...ngoja niwasaidie kidogo...Vp Kabakabana hujambo?
 
haujani shirikisha kwenye makubaliano yenu we na mpatanishi bana.. Wakati tulikua wote. Lol. Hata kunishtua we nae..
Hahahaaa unajua Mpatanishi analalamika eti kafa kaoza juu yako...mara hali vizuri kisa wewe...mi nikamwambia km anataka atuletee kiuno cha nyoka...
 
hahahahahahah hapo tutajua kama maneno yake ya kweli!
 
Itanidi akomae otherwise kwisha habari yake...kwanza hana Tembo card master card....eti ana ya NMB....hahhahahaa nikamwambia kwa hapo bora aungane na Ousofia kumgombania Jane Triple 0
 
hahahahah daah sheikh hakufanya kosa kukuachia jukumu la kunilinda..
 
Nakulinda Amy usijali...si unaona nishampoteza Mpatanishi.....kaamua kwenda kujidunga Banana wine kutuliza mawazo....hahahaaaa
 
hahahah ntakuPM speech ya shukran..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…