jane-000 hitaji lako limejibiwa


Nimesha mPM Rev.Masanilo yupo tayari kufungisha
 
Sio classic kwa watu km SweetLady..Amyner..Kabakabana nawengine kama hao...ila kwako huyo ni Classic sana....mkubali yaishe
Hana hela anatoka kwenye family ya kimasikin hana elimu na sipendi mtu mwenye tumbo kubwa kama mtapia mlo





Han
 
I can't help try somewhere else nenda kwamacheni au manzese
 
Hana hela anatoka kwenye family ya kimasikin hana elimu na sipendi mtu mwenye tumbo kubwa kama mtapia mlo
Han
Teh mbona wewe una mapungufu ila kayakubali na yuko tayari kuyabeba maishani mwake???
Usipoteze bahati Jane...kumbuka ukimkosa huyo hutapata mwanaume utakayewezana nae tena...ooh shauri yako
 
Hahahahaaaa atupunguzie mzigo eeeeh tena OuSofia amempata wanayeendana nae vizuri....at least wanashare mambo mengi...hahahhahahahaaa hiyo familia yao siipatii picha

Erickb52 we unatakiwa uwe bestman wa Ousofia kwani zile swaga zako za kuwa mtoto wa waziri jane lazima amkubali Ousofia kwani anarafiki ambaye ni mtoto wa waziri fake Erickb52
 
anang'ata kucha sahv..bado kuchezea chezea nywele zake halafu.... kwahyo mkuu usikate tamaa, komaa nae.:eyebrows:
 
Erickb52 we unatakiwa uwe bestman wa Ousofia kwani zile swaga zako za kuwa mtoto wa waziri jane lazima amkubali Ousofia kwani anarafiki ambaye ni mtoto wa waziri fake Erickb52
Unapenda kuwa n super star
 
Erickb52 we unatakiwa uwe bestman wa Ousofia kwani zile swaga zako za kuwa mtoto wa waziri jane lazima amkubali Ousofia kwani anarafiki ambaye ni mtoto wa waziri fake Erickb52

Hahhaa aisee Mtz halisi nikiwa bestman wa hawa vilaza wawili utashangaa na mimi nimekuwa km wao...ngoja tumtafute WA KUSOMA aje awe best man...teh hapo itakaa sawa kidogo
 
huyu jiandae kuuza magasezi ta udaku

'tripo 0 alonga, bwana'ngu kikojozi'

au

Tripo 0 akiri ' mumewe hamfikishi'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…