simplemind JF-Expert Member Joined Apr 10, 2009 Posts 16,806 Reaction score 9,742 Jan 5, 2017 #1 Maonevu ya ECOWAS na Kinara Senegal hayakubaliki. Uonevu wa UN hapana. Karibu Zanzibar Jammeh , birds of same feathers flock together.
Maonevu ya ECOWAS na Kinara Senegal hayakubaliki. Uonevu wa UN hapana. Karibu Zanzibar Jammeh , birds of same feathers flock together.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,392 Reaction score 289,520 Jan 5, 2017 #2 Huyu na Shein hawana tofauti yoyote .
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,283 Jan 5, 2017 #3 simplemind said: Maonevu ya ECOWAS na Kinara Senegal hayakubaliki. Uonevu wa UN hapana. Karibu Zanzibar Jammeh , birds of same feathers flock together. Click to expand... Unamkaribisha kwa pacha wake Shein bin Jecha
simplemind said: Maonevu ya ECOWAS na Kinara Senegal hayakubaliki. Uonevu wa UN hapana. Karibu Zanzibar Jammeh , birds of same feathers flock together. Click to expand... Unamkaribisha kwa pacha wake Shein bin Jecha
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Jan 6, 2017 #4 Nimeelewa hii fasihi iliyotumika hapa. Na wote tuseme Ameeen!