Kapo kanalea mtoto ...kapo dancer 100!Hivi kale kabinti kalikokuwa kametoboa pua kalienda wapi?
b twangalaClouds Radio yupo mmoja ana Duka la Nguo japo haonyeshi ila naye ni Hao hao
Shabaranks bado yupo kwenye hicho kipindi.Hivi kale kabinti kalikokuwa kametoboa pua kalienda wapi?
nani mkuu, A-24 au?Clouds Radio yupo mmoja ana Duka la Nguo japo haonyeshi ila naye ni Hao hao
Huyo Huyo Ishu hyo ni ya kweli kabisa wala haina uongonani mkuu, A-24 au?
Sa unashangaa nn hujui huyo nae ni mwanaume wa Dar?!Binafsi alikuwa ananiboa kuliko watangazaji wote niliowahi kuwasikia. Anaongea kama kakalia kitu cha moto
Jamani hivi ni kweli haka kajamaa nako kuna mtu huwa anakatafuna?!Huyo Huyo Ishu hyo ni ya kweli kabisa wala haina uongo
nani mkuu, A-24 au?