G
Hahaaaaa nimecheka sana kuona hilo Ganda la ndizi hapo.
Dah! Wanawake ni viumbe wa ajabu sana.
Hapa ndipo V.A.R binti ejoy😁Uzi mzuri sijawahi kuuona 😂😂😂
Ajabu nikiangali bila V.A.R sioni kitu, kweli V.A.R ni noma 😂😂😂Hapa ndipo V.A.R binti ejoy😁
Hadi uwe na jicho la ziadaAjabu nikiangali bila V.A.R sioni kitu, kweli V.A.R ni noma 😂😂😂
Ndugu yangu🤣🤣😂😂