Hili suala la wanawake kuacha kidole kimoja bila ya kufuga au kubandika kucha, nadhani inawezekana wanayo sababu ya msingi ambayo sisi wanaume hatuijui.
Kwa sababu imekuwa kama sio kitu cha kushangaza tena, maana wanawake wengi huwa wanaiacha.
Ndugu zetu wanawake hebu tuelewesheni
Depal na wengine.