Hahaaa jamii forum almost wote matajiri tena waajiriwa wa serikali
Jamii forum kuna kale kashoga kanajulikana na watu wote jina lake linaanza na r.......hahaaaaaa
Subiria majibu ya mwendokasi yatakayokuachanisha taya...Kuna watu wana majibu ya kushangaza mno humu ndani! Bingwa wao akiwa huyu jamaa MO11
Majibu ya kukata na shoka halafu mubasharaaa
Watumiaji wa JF hakuna mtu wasiyemjua, Wewe muulizie mtu yeyote humu, utaambiwa hadi rangi ya chupi anayovaa
ndo unakuta mtu anakufahamu zaidi ya unavyojifahamu
Halaf jf kila mtu ana mapenzi ya kweli kwa mpenzi wake,hajawah cheat,,ni mkwelii,mtakatifu,ana uwezo sana hajawah pitia shida ,,sio fake ,,,humu balaaa
10.Wengine hawajuagi hata kah mishahara imetoka au inatoka lini,ila akiingia JF anakuta watu wanasema mi mshahara nimeshakula au umetoka zamaniii.kumbe wengne wanasema mishahara ya jobs ambazo sio official.....mtu anajilipa mwenyew.
Wengine wanakuja na story za uongo wanachoandika wiki jana ni tofauti kabisa na wiki hii, wiki jana alisema amefaulu form 6, wiki hii anakwambia amepata sup 5 UDSM. cc HR 666
Hahaaa jamii forum almost wote matajiri tena waajiriwa wa serikali
Jamii forum kuna kale kashoga kanajulikana na watu wote jina lake linaanza na r.......hahaaaaaa
Duh hapo kuna kaukweli, watu wanakaponda kweli wakiwa humu but kwa taarifa ya kunyapianyapia PM yake imejaa mitongozo, nakumbuka kama vile namimi nimewahi kukapm