M PM Zero IQHiyo Namba 10 inahusu nini wakuu..
Ni kweli Mimi siwezi kupitisha 1 hour kama Niko free bila kuingia jf.Siku wakiamua kuipiga promo ya matangazo kwenye redio na mabango,watakimbiza sana.Tatizo la milard ayo imeshuka kutokana na uoga wake maana amekuwa kama tbc au globalpublisherShida ya sie member wa JF wengi ni adicted unaweza shinda humu 24 hours bila wasiwasi
Nikusaidie na pia kwa mwanzisha mada na wengine:facebook na Instagram ndio site zenye watembeleaji wengi Tanzania, hili hutakiwi kuambiwa na hao Alexa wala nini,lipo obvious kabisa
Mtaani unaeza kuuliza watu hata 10 kuhusu Jamiiforums na 7 wakawa hawaijui kabisa, ila Facebook hata bibi wa kijiji anaifahamu
mkuu inahusu ujasiriamali na#kuanza pale ulipo na kile ulichonacho ndio siri kubwa ya kufanikiwaHiyo Namba 10 inahusu nini wakuu..
1. La kwanza ushalisema Vijana wa Sasa ni MWENDO WA KUBET TU.Miaka mitatu iliyopita jamiiforums ilishushwa umaarufu wake na millardayo kwa kuwa na watembeleaji wengi.
Lakini takwimu za leo za Top Sites in Tanzania - Alexa
Zinaonyesha JF ndio mtandao wa tatu tz kwa kuwa na watembeleaji wengi na kuzipita facebook na yahoo.
Home of great thinkers imezidiwa na google.com pamoja youtube.com
Kinachonishangaza watz wengi bado hawaifahamu Jamiiforums ukilinganisha na Facebook hapa ndipo ninapojiuliza wamewezaje.
Hii ni list ya tovuti 50 zinazotembelewa sana kwa mujibu wa alexa rankings.
1. Google.com
2. YouTube.com
3. JamiiForums.com
4. Yahoo.com
5. Facebook.com
6. Blogspot.com
7. Wikipedia
8. Ajira.com
9. Mkekabet.com
10. Xvideo.com
11. Google.co.tz
12.Instagram
13.Livescore.com
14.Ghafla.com
15.Meridianbet.co.tz
16. M-bet
17.yts.am
18. Softonic.com
19. Tra.go.tz
20. Miraldayo.com
21. Ask.com
22.Bbc.com
23. Researchgate.com
24. DjMwanga.com
25. Afrtrk.com
26. Necta.go.tz
27. Moneymake.site
28. Befoward.jp
29. 1337x.to
30. Zoomtanzania.com
31. Porn55.com
32. Sportpesa.co.tz
33. Live.com
34. Microsoft.com
35. Myway.com
36. Mwananchi.co.tz
37. Notjustok.com
38. Mpekuzihuru.com
39. Mabumbe.com
40. Amazon.com
41. Bodelen.com
42. Stackoverflow.com
43. Out.ac.tz
44. Flashscore.com
45. Cobalten.com
46. Yingamedia.com
47. Premierbet.com
48. Pornhub.com
49. Savefrom.net
50. Tweeter.com
Umegundua nn?
Mimi nilichogundua watz wengi ni wacheza kamari wakubwa na watazamaji wa porn wa hali juu.
Angalia idadi ya tovuti za mambo ya kubeti zilivyo nyingi.
Nilitaka kuandika upuuzi sana dhidi ya mleta uzi, lakini kwa kuwa umefafanua hizo takwimu ni za browser pekee hata sipingi lakini vinginevyo HAPANANikusaidie na pia kwa mwanzisha mada na wengine:
Metrics za Alexa zinaangalia tovuti zinavyotembelewa kwa kutumia browser na si app.
Ni ukweli usiopingika kuwa watu wataenda ku-Google na wataitembelea YouTube kwa browser kabla haijawa-redirect kwenda kwenye app.
Sasa, Facebook, Twitter na Instagram zipo zaidi kwa watumiaji wa app zaidi ya web browser.
JF ikiweka nguvu zaidi kwenye app, itaondoka kwenye hiyo nafasi naamini
Kweli, maelezo yako yana make sense kabisaNikusaidie na pia kwa mwanzisha mada na wengine:
Metrics za Alexa zinaangalia tovuti zinavyotembelewa kwa kutumia browser na si app.
Ni ukweli usiopingika kuwa watu wataenda ku-Google na wataitembelea YouTube kwa browser kabla haijawa-redirect kwenda kwenye app.
Sasa, Facebook, Twitter na Instagram zipo zaidi kwa watumiaji wa app zaidi ya web browser.
JF ikiweka nguvu zaidi kwenye app, itaondoka kwenye hiyo nafasi naamini
Mkuu Alexa inapima VIews(Traffics) na sio idadi ya Members!!facebook na Instagram ndio site zenye watembeleaji wengi Tanzania, hili hutakiwi kuambiwa na hao Alexa wala nini,lipo obvious kabisa
Mtaani unaeza kuuliza watu hata 10 kuhusu Jamiiforums na 7 wakawa hawaijui kabisa, ila Facebook hata bibi wa kijiji anaifahamu.
JF inafahamika kwa watu wanaofuatilia sana mambo, mpaka sasa hivi haina hata wanachama laki 5, Instagram kuna wabongo kibao tu wenye akaunti zilizozidi followers milioni 2, milioni 1 ndio usiseme
Idadi ya views ni proportional na idadi ya members...Ukiwa na members wengi inaamaanisha wewe una watembeleaji wengi ndio maana hata ukawa na hao members wengiMkuu Alexa inapima VIews(Traffics) na sio idadi ya Members!!
Lakini ujue pia, watumiaji wengi wa jf hawapo tayari kujulikana kama wanatumia jf huku mitaani... Hilo lipo wazi.. mimi siwezi kukuambia kuwa natumia jf tukiwa huku mtaanifacebook na Instagram ndio site zenye watembeleaji wengi Tanzania, hili hutakiwi kuambiwa na hao Alexa wala nini,lipo obvious kabisa
Mtaani unaeza kuuliza watu hata 10 kuhusu Jamiiforums na 7 wakawa hawaijui kabisa, ila Facebook hata bibi wa kijiji anaifahamu.
JF inafahamika kwa watu wanaofuatilia sana mambo, mpaka sasa hivi haina hata wanachama laki 5, Instagram kuna wabongo kibao tu wenye akaunti zilizozidi followers milioni 2, milioni 1 ndio usiseme
Sio kuitumia, nazungumzia kuijua tu, mwingine ukimtajia hata JamiiForums hawezi kuirudia vizuri...Mkuu Alexa inapima watembeleaji kupitia browser sio appp na ndipo JF imewazidi FB na IGLakini ujue pia, watumiaji wengi wa jf hawapo tayari kujulikana kama wanatumia jf huku mitaani... Hilo lipo wazi.. mimi siwezi kukuambia kuwa natumia jf tukiwa huku mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini jamiiforums ina watembeleaji wengi ambao sio members angalia idadi ya views ambao wapo online utaona wengi ni guestsIdadi ya views ni proportional na idadi ya members...Ukiwa na members wengi inaamaanisha wewe una watembeleaji wengi ndio maana hata ukawa na hao members wengi
Anyway kuna jamaa hapo juu kamaliza mjadala, kasema Alexa inapima watembeleaji wanaotumia browser na sio App, hapo nimekubali maaba watembeleaji wengi FB na IG ni kupitia App