JAMIIFORUMS IMEMEZWA!

JAMIIFORUMS IMEMEZWA!

Shoctopus

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Posts
3,435
Reaction score
1,995
Wala sio kwa bahati mbaya kwa Jf kulundikwa manyuzi ya mtu mmoja kila siku!
Kila topic utakutana na madudu yake na hamna kitu kipya lakini hao ndio wameipora Jf!
Kuna siku tutajua mbivu nbichi.
 
Kitanda chako pale Hospitalini Mirembe kimeshachukuliwa au? Kama bado basi nakushauri kuwa wahi urudi ili ukaendelee Kulala na uweze Kutibiwa vyema.
 
Wala sio kwa bahati mbaya kwa Jf kulundikwa manyuzi ya mtu mmoja kila siku!
Kila topic utakutana na madudu yake na hamna kitu kipya lakini hao ndio wameipora Jf!
Kuna siku tutajua mbivu nbichi.
Andika post na wewe uiteke JF kuwa mbunifu utashangaa ndani ya SAA Moja una views 3k
 
Wala sio kwa bahati mbaya kwa Jf kulundikwa manyuzi ya mtu mmoja kila siku!
Kila topic utakutana na madudu yake na hamna kitu kipya lakini hao ndio wameipora Jf!
Kuna siku tutajua mbivu nbichi.
wivu tu unakuhangaisha
ni lini hata ulishawahi toa cent 5 JF
au kuanzisha Mada jamvini
km huwezi changia za wenzako jaribu Instragam au Facebook utawakuta kina Mange
 
Back
Top Bottom