Sina hakika kama hapa ndo mahali pake kuuliza, ila mkuu
Invisible, ninatumia iphone4, nilidownload JF app for iphone nikaipata ila kila nikijaribu kuifungua hasa kupitia "enter now" sifanikiwi. Tatizo nini?
Otherwise I appreciate kazi yenu nzuri
Genekai!!!!!!!!!