Jamiiforum mjitafakari

Jamiiforum mjitafakari

wabunge wenyewe ndo hawa kina levo alfu baadae waseme maza anahujumiwa
 
JF ni platform tu.

Waandishi ni wewe na mimi, wao JF hawahusiki na maudhui yaliyomu humu.

Ndio maana hawafungiwi kwa kutokuwa na leseni ya uandishi wa habari na TCRA.

Wao hawaandiki wao wanakuwezesha wewe kuandika.
 
Hizo Updates za kura za maoni,kwanini usizilete wewe humu?

Au kuna mtu umemuajiri humu na unamlipa mshahara kwa kazi hiyo?
 
Yaani mpaka sasa hamuwezi kutoa updates za kura za maoni za wajumbe wa CCM? Nini shida Roving Journalist yupo kubwabwaja tu. Mjitafakari kwa kweli.
Jf sio platform ya ccm. Kama una matokeo yaweke hapa kimpango wako. Ama unadhani ccm ni chama cha maana sana hadi kila social media iwajabike kutangaza habari zake?
 
Jamii forum ni site Ambayo kwa %kubwa inategemea Member wake ndo walete habari then wao ndo watafute kuthibitisha
 
JF ni platform tu.

Waandishi ni wewe na mimi, wao JF hawahusiki na maudhui yaliyomu humu.

Ndio maana hawafungiwi kwa kutokuwa na leseni ya uandishi wa habari na TCRA.

Wao hawaandiki wao wanakuwezesha wewe kuandika.
Mkuu umeongea jambo kubwa sana, asipoelewa na hapa tunamla kichwa kama wajumbe
 
mbona tayari
kubwa ni hii baba levo is out 😂
Swali fikirishi: Kwa Baba Levo kutemwa, Hii inamrahizishia Zitto dhidi ya mgombea CCM aliyeongoza kura za maoni? Je, Zitto angefurahi kupambana na Baba Levo au huyo mwingine?
 
Back
Top Bottom