JamiiCheck
JF-Expert Member
- Nov 3, 2023
- 213
- 226
Akizungumza kupitia kituo cha luninga cha Crown TV Septemba 05, 2025 Innocent Mangu kutoka Idara ya Uhakiki na Uthibitishaji wa Taarifa ya JamiiAfrica amebainisha kuwa katika mchakato wake JamiiCheck inashirikisha wananchi, pamoja na kujengea uwezo makundi yote namna ya kuthibitisha Taarifa na kuzuia Upotoshaji.
Tembelea JamiiCheck.com, jukwaa linalokuwezesha kuwasilisha Taarifa yoyote unayohitaji kupata uhalisia wake pamoja na kujifunza jinsi ya kubaini maudhui Potoshi.
Tembelea JamiiCheck.com, jukwaa linalokuwezesha kuwasilisha Taarifa yoyote unayohitaji kupata uhalisia wake pamoja na kujifunza jinsi ya kubaini maudhui Potoshi.