kuthibitisha taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ardhi wamefika mji mwema kuthibitisha taarifa za upimaji kabla ya kupandishwa kwenye mfumo wa e-Ardhi

    MTWARA Timu ya wataalamu wa sekta ya ardhi tarehe 23 septemba 2026 ikiongozwa na Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Mtwara, Bw. Frederick Mrema, imefika Mji Mwema kwa ajili ya kufanya uhakiki wa taarifa za upimaji wa viwanja zilizobainika kuwa na tofauti wakati wa zoezi la upandishaji wa...
  2. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Abella Bateyunga: Tumia JamiiCheck kupata msaada wa kuthibitisha taarifa

    Unapohitaji msaada wa kuthibitisha Taarifa tembelea JamiiCheck.com kama anavyosisitiza Abella Bateyunga, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Bora Initiative, ili kupata Taarifa sahihi na kwa wakati.
  3. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania JamiiCheck hushirikisha wananchi, huwajengea uwezo wa kuthibitisha taarifa

    Akizungumza kupitia kituo cha luninga cha Crown TV Septemba 05, 2025 Innocent Mangu kutoka Idara ya Uhakiki na Uthibitishaji wa Taarifa ya JamiiAfrica amebainisha kuwa katika mchakato wake JamiiCheck inashirikisha wananchi, pamoja na kujengea uwezo makundi yote namna ya kuthibitisha Taarifa na...
  4. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Tuna changamoto ya upotoshaji, watumiaji wa taarifa huziamini bila kuthibitisha

    Kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi inakukumbusha kuwa kabla ya kuamini na kusambaza Taarifa unayokutana nayo ndani na nje ya mtandao ni muhimu Kuithibitisha Uhalisia wake ili kuepusha Taarifa Potofu. Unapohitaji msaada wa Uthibitishaji Taarifa...
Back
Top Bottom