Habari yako ndugu Willntoke.
Hongera kwa nakala nzuri yenye mawaidha na tija kwa jamii.
Kura yangu umepata!!
Nikiamini katika uchakataji wako wa mambo na uwezo wako wa fikra na ubunifu, naomba ukipendezwa, nipate mawazo yako au mapendekezo juu ya nakala ihusuyo
Chanzo: Picha na JamiiForums Yafanyike haya kuikomboa NHIF Katika kutekeleza dhima na dira ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika kutimiza majukumu ya utoaji wa huduma ya Afya kwa kuzingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo (2025), Sera ya Afya ya mwaka 2007, Mpango Mkakati wa Tano wa Sekta...
Ahsante!!