mtaftaukweli1
Member
- Sep 21, 2012
- 27
- 1
waasisi wa taifa letu ,walipata changamoto kubwa baada yauhuru,kwani baada ya uhuru watu waliweka vitendea kazi chini na kufurahia matunda ya uhuru, kazi sehemu mbalimbalim zikasimama ,maana watu walifikiri kufanya kazi ni utumwa, hiyo labda ni kwavile kipinudi kile cha ukoloni walifanya kazi bila hata ujira au kwa ujira mdogo na ndo maana walihusianisha kazi na utumwa. hali kama hiyo viongozi wetu wa mwanzo walikumbana nylo na kuanza walau kuwaelimisha zaidi watu wao wakawa wana toa kauri mbiu mbalimbali ,kama UHURU NA KAZI
Leo halii hii ndo iliyopo tanzania ,kwamba watu hawapendi kufanya kazi ila wanapenda mishaharatu, hii sasa inapelekea ufanisi wa kazi kupungua , na bahati mbaya serikari na viongozi wa enzi hizi sina hakika kama wameshalitaftia tiba, tatizo hili la kutaka mshahara mkubwa bila hata kufanya kazi kwa namna moja au nyingine lina sababishwa na tofauti KUBWA sana ya mishahara kati ya watumishi wa umma ,hivyo basi walioko chini ambao hata posho,semina malipo ya kufanya kazi mda wa ziada hawana, wanaamua kubaki wakitafta namnanyingine ya kupata pesa huku wakifanya kazi kwa kulipua lipua, leo hii kijana anaye toka huo kikuu utamsikia anapangam ni kwa jinsi gani atapata pesa za chapuchapu na walasio nijinsi gani atakuwa makini na kutumia ujuzi alopata chuoni katika kazi yake, hali hii sasa uadilifu utakuwa ni ndoto, kipindi cha awamu ya kwanza viongozi wali wachukulia hatua waliokuwa wakiitwa wahujumu uchumi, leo hii kuna wahujumu taifa sasa hawa wachache walioko ngazi zajuu wana ubavu wa kukemea ubadhilifu na kusisitiza umuhimu wa kuchapa kazi kwa maendeleo ya taifa?huku wenye wana mabilioni na hawafanyim kazi ya maana? jamii inayotaka sana utajiri bila kufanya kazi ni hatari.