Betrose Richard
Member
- May 24, 2022
- 23
- 30
Hahahaaaaaa,huu ushauri ni balaaUnalia lia nn wewe kata makofi tandika ngumi hakikisha haumii wala kufa onyesha ww ndio kidume akirudi kwao fata hukohuko kata makofi mbele ya wakwe mbebe mlete home paka mkongo hakikisha panawaka moto alafu uje utoe mrejesho hapa ndio mana tunasema wanaume mnapotea
tafuta hela wapi pesa inatafutwa kwa pesa kuna wengine tunatafuta pesa huoni kitu halafu hicho hicho kidogo ukipata mtu anakua hasomeki.Acha kulialia tafuta hela, acha kutamani hela ya mwanamke, fanya kazi, fanya biashara, fanya ujasiriamali ili uweze kumudu na kuitunza familia yako. Muda ulioutumia kuandika yote haya ulipaswa kuutumia kutafuta hela.
Pesa sio kila kila kitu kwenye maishaAcha kulialia tafuta hela, acha kutamani hela ya mwanamke, fanya kazi, fanya biashara, fanya ujasiriamali ili uweze kumudu na kuitunza familia yako. Muda ulioutumia kuandika yote haya ulipaswa kuutumia kutafuta hela.
unachekesha huku unatafuta hela hiyo hiyo akili isolve ugomvi ,hiyo hiyo akili isolve kesi za mke.Unalia lia nn wewe kata makofi tandika ngumi hakikisha haumii wala kufa onyesha ww ndio kidume akirudi kwao fata hukohuko kata makofi mbele ya wakwe mbebe mlete home paka mkongo hakikisha panawaka moto alafu uje utoe mrejesho hapa ndio mana tunasema wanaume mnapotea
umenielewa vizuri ila kuna sehemu nasisitiza Mwanaume wakati ana mtunza mke ikiwa mke anakipato kwa kujiajili au kuajiliwa lazima akisaidieNdugu mwandishi naunga mkono hoja,yote uliyoyasema Yana kweli ndani yake,ifikie kipindi mwanaume naye aangaliwe Kwa jicho la huruma,na si kukandamizwa Tu.
Na Hicho kitendo cha kuwapa Sana fair wanawake kinawatia kiburi na kuwafanya wajione huru kufanya walitakalo,ifikie kipindi uwe usawa ktk kiyaendea haya maswala.
Ila kuhusu kumtunza mwanamke Hilo ni hukumu la mwanaume,hata katika Dini Hilo lipo wazi kabisa,lkn si kumtunza Kwa mambo ambayo sio ya msingi,hapo siku sikubaliani napo
Nakubaliana na wewe kwasababu Kwa upande wa Dini ya kiislamu,sio kwamba imeweka Sheria mwanamke asisaidie laa,Ila akipenda aweza Saidia majukumu ya nyumbani.umenielewa vizuri ila kuna sehemu nasisitiza Mwanaume wakati ana mtunza mke ikiwa mke anakipato kwa kujiajili au kuajiliwa lazima akisaidie
Jukumu la mwanamke katika ndoa ni msaidizi na sio mtumiaji.
kwa maana wakati unahudumia ikitokea na yeye ana kazi kwa kuajiriwa au kajiajili ana haki kusimama kama msaidizi na sio mtumiaji wa kile kinachopatikana kwa fujo au kujihalalisha pesa yake ni yake.