Hawa jamii forum kila mwaka wa update app, wanabadilisha kila kitu, ni kama ndio mtu umeanza upya kila kitu hakionekani, kwanza yaani ile app ya mwaka jana ndio nimeiweza juzi tu, leo wamebadilisha kila kitu.. hata instagram, Facebook hawafanyi hivyoโฆ tatizo nini mpaka kila mara unabasilisha features????