Jamii forums wamebadili logo Yao

Nimeteseka sana kuitqfuta jf kwenye simu yangu ,maana nili-update all apps badae nakuja naanza kuitafuta kwa kukariri logo ya zamani halafu logo mpya naiona lakini naipuuza like ni app imeji-install ๐Ÿ˜„
 
Moderator
unganisha Post

 
Logo ya zamani ni nzuri zaidi kuliko logo hii mpya! Mtazamo wangu
 
Sjafurahia kabisa nimemtafuta sana ktky cm yangu leo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ