Na hapo ndipo tunaposhindwa endelea sasaNgozi nyeusi huwa wagumu sana kukubali mapungufu na inapotokea akakubali basi huishia kusema ''asante'' kwahiyo usitegemee kitu chochote kutoka kwa ngozi nyeusi. Yy ataona km umeingilia mambo yake na mwisho wa siku atakushitaki.
Na unaweza kupigwa hata risasi zaidi ya zile za Lissu kama ni siasa ambapo kwa sasa mtu anaweza kutumia fikra za utawala wa karne ya mawe na akafanikiwa Tanzania.Ngozi nyeusi huwa wagumu sana kukubali mapungufu na inapotokea akakubali basi huishia kusema ''asante'' kwahiyo usitegemee kitu chochote kutoka kwa ngozi nyeusi. Yy ataona km umeingilia mambo yake na mwisho wa siku atakushitaki.
Hongera km umegundua tatizo hilo ila cha kufanya fanya iwe siri yako na km ukishindishwa show them their weakness.
hawalipi sababu wana database kubwa sana, ni rahisi wao kupewa feedback bila kulipiaxenforo wanalipa kwa unavojua!!??..
shukranihawalipi sababu wana database kubwa sana, ni rahisi wao kupewa feedback bila kulipia
Bug reports [1.x]