Ningependa kuwauliza wanaohusika kwamba je, kuna app ya jamii Forums kwa ajili ya simu zinazotumia windows 8 OS? Kama bado, kuna mpango wa kutengeneza? Nawatakia siku njema!
kuna vitu avipewagi priority na madevelopers wengi sababu ya Lack of popularity
e.g VPN company providers wanazo clients za Android sababu watumiaji ni wengi hivo no loss priority ya Pili inakuja kwa iOS lkn sio Company zote zinayo ya iOS sababu kui-develop tool yakutumia kwa Apple ni bei kubwa mno na watumiaji ni wachache na mwisho kabisa hamna Company wamedevelop tool ya Windows Phone na sijui kama inawezekana
Anyways inshort hiyo tutorila inakupa jibu kuwa tunaangalia Popularity ya watumiaji ndo tunadevelop app ktk platform fulani fanya mm nipo Chuoni lkn out 500 students in my class 1 has windows phone 2 iPhone and almost every one has Android Phone
Inshort mm sio msemaji wa Jamiiforums ila najaribu kukutengennezea picha uelewe
Mkuu Dingswayo, mimi natumia windows 8 phone Nokia Lumia 1020 na kwa kweli nashukuru uongozi wa JF...kwa sasa sina tatizo kabisaaaa.Ningependa kuwauliza wanaohusika kwamba je, kuna app ya jamii Forums kwa ajili ya simu zinazotumia windows 8 OS? Kama bado, kuna mpango wa kutengeneza? Nawatakia siku njema!
Mkuu Dingswayo inawezekana sikuelewa swali lako. Nililotaka kusema ni kuwa kwa simu yangu sipati na sijawahi kupata tatizo lolote katika kuipata JF pamoja na app ya win 8 kutokuwepo, I cant explain it but I just assumed that Invisible and his team did do something (LOL!)...anyway it is only over a month since I got it and I am a big fan of windows OS. Before then I had a samsung android S3 for I have never liked apple's IOS...I am not even a fan of Mac computers.Mkuu Mag3 hebu tuambie kwa nini huna tatizo kabisa? mwanzo ulikuwa na tatizo gani? Au wametoa app ya win 8 ya JF?
Mkuu Mag3 app ya JF ya android ni nzuri sana kiasi ambacho nilikuwa naweza kusoma frums kwa mpangilio mzuri. Sasa hivi natumia simu ya Lumia win 8, kwa matumizi ni bora sana kuliko simu yeyote ya android niliyotumia, ila JF haina app maalumu kwa windows 8. Kusoma JF inabidi utumie IE browser au Nokia Express, zote ambazo inabidi u resize text ili uweze kusoma vizuri, jambo ambalo huhitaji kufanya kwenye android app ya JF.Mkuu Dingswayo inawezekana sikuelewa swali lako. Nililotaka kusema ni kuwa kwa simu yangu sipati na sijawahi kupata tatizo lolote katika kuipata JF pamoja na app ya win 8 kutokuwepo, I cant explain it but I just assumed that Invisible and his team did do something (LOL!)...anyway it is only over a month since I got it and I am a big fan of windows OS. Before then I had a samsung android S3 for I have never liked apple's IOS...I am not even a fan of Mac computers.
Nimefanikiwa kupata hii app ForumTalk ambayo uki serach JF inapatikana, lakini usomaji wake wa post ni mgumu maana inabidi uende katika forum specific baada ya, kwa mfano, new posts, ambapo unapata posts zote mpya zilizopo.
Sijui kama ni aina ya simu lakini mimi sina tatizo kabisa na simu yangu, nasoma forums zote bila matatizo yoyote wala sihitaji kuresize text. Niki'click' forums zinakuja zote vizuri...in fact sikujua kuna watu wanapata matatizo na simu za win 8 especially nokia lumia 1020.Mkuu Mag3 app ya JF ya android ni nzuri sana kiasi ambacho nilikuwa naweza kusoma frums kwa mpangilio mzuri. Sasa hivi natumia simu ya Lumia win 8, kwa matumizi ni bora sana kuliko simu yeyote ya android niliyotumia, ila JF haina app maalumu kwa windows 8. Kusoma JF inabidi utumie IE browser au Nokia Express, zote ambazo inabidi u resize text ili uweze kusoma vizuri, jambo ambalo huhitaji kufanya kwenye android app ya JF.
Windows phone zimeshajifia,uzi uliongia ni wa mwaka 2013.Waapendwa Wa Mungu mm naitwa Gattieman Ni Msambaa na Hilo Ni Jina langu la ukoo.
Shida yangu NATUMIA WINDOW PHONE 8 LUMIA Jaman yanitoa ushamba mwenxenu. Siwezi kuinstall App yoyote Chochote yani zaidi ya Miziki kwa kutumia Google. Mpka nikahisi window phones Ni Upuuzi Tu ILA nilipoingia huku nakuta inamwagiwa sifa kama zote. Nisaidieni Jamaniiiii.
Dondoo zake Ni
Name: Window phone
Model: Microsoft lumia 535 dual sim.
Software:window phone 8.1 update
Okaaaay! Kwa mchezo huu haka kasimu ni kakuweka kwa kapu Mkuu,yap ni hivyo tu ama kama ingekuwa ni ww ungekasaidiaje? Of coz kanatoa ushirikiano kwa mambo mengine ya kawaida,but imprtant mamboz ndio tatizo kama izo Apps sasaWindows phone zimeshajifia,uzi uliongia ni wa mwaka 2013.
On October 8, 2017, Microsoft executive Joe Belfiore revealed that the company would no longer actively develop new features or hardware for Windows phones, citing its low market share, and the resultant lack of third-party software for the platform
Sasa kama hakuna third parties developer wanaoshughulika na windows phones utapata tabu kupata apps unazozihitaji.
Na ndio hii nilionayo huku JF by This Time. Yani ni kapepo ambako kananishangaza aseeOkaaaay! Kwa mchezo huu haka kasimu ni kakuweka kwa kapu Mkuu,yap ni hivyo tu ama kama ingekuwa ni ww ungekasaidiaje? Of coz kanatoa ushirikiano kwa mambo mengine ya kawaida,but imprtant mamboz ndio tatizo kama izo Apps sasa