Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 798
- 865
Jamhuri ipi? Hii inayouza Bandar zake kwa warabu?"Kujaribu kuishika Jamhuri kidevu na kuitekenya kwapani ni kama kumvisha jogoo soksi na kutegemea acheze ballet, utavunja heshima, na upate aibuπππ." β Alloyce, P.R.
Hakuna rais duaniani aliyeshindana na kanisa na akashinda. Ni suala la muda tu, Samia ataishia mwisho mbaya sana sana. Kitendo cha kutuma watu kulawiti watu huku wakisema ''asante Samia'' ni ushetani ambao Mungu hataachia ipite hivi hivi."Kujaribu kuishika Jamhuri kidevu na kuitekenya kwapani ni kama kumvisha jogoo soksi na kutegemea acheze ballet, utavunja heshima, na upate aibuπππ." β Alloyce, P.R.
Naunga mkono hojaHakuna rais duaniani aliyeshindana na kanisa na akashinda. Ni suala la muda tu, Samia ataishia mwisho mbaya sana sana. Kitendo cha kutuma watu kulawiti watu huku wakisema ''asante Samia'' ni ushetani ambao Mungu hataachia ipite hivi hivi.
Jamhuri Stadium, DodomaJamhuri ipi
Sisi hatuna jamhuri tuna kituko,so lazma tupambane kukabili kituko hicho"Kujaribu kuishika Jamhuri kidevu na kuitekenya kwapani ni kama kumvisha jogoo soksi na kutegemea acheze ballet, utavunja heshima, na upate aibuπππ." β Alloyce, P.R.
Hapo sawa ππJamhuri Stadium, Dodoma
Andiko limeelezea tu Jamhuri. Elewa neno "kuishika Jamhuri Kidevu na Kuitekenya kwapani".Jamhuri ipi
Wacha mhemko ππUchawa ni zaidi ya ugonjwa wa akili