PreGE2025 James Millya atarudi jimbo la Simanjiro ama tutaendelea na Christopher Ole Sendeka?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

888I

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
445
Reaction score
553
Uchaguzi mkuu unakaribia na katika jimbo la Simanjiro wanatajwa wengi kuwania nafasi ya ubunge , Tunahitaji angalau wawakilishi wenye kiwango kikubwa cha Elimu ,si elimu itasaidia lakini angalau itawafanya wabunge kuwa waadilifu.

Huenda isifanye wawe waadilifu lakini basi itawafanya waweze kufikiria kikamilifu na si kupelekwa pelekwa kwasababu ya kutokua na uwezo wa kufikiri ama kuamua kwa mantiki.

Hatuhitaji wawakilishi wenye Njaa maana mwenye njaa Hana msimamo.

JK wa kwanza alisema Hatuhitaji wanasiasa Malaya Malaya ambao wananunulika,nami nasema tunahitaji wanasiasa wenye misimamo thabiti kwaajili ya wananchi anao wawakilisha.

Mwanasiasa anaye sifia tu jimboni hakuna barabara Wala maji lakini akisimama bungeni kuchangia bajeti ya wizara ya Uchukuzi anasifia sifia tu hapana hatuhitaji tunahitaji anayeweza kukosoa kushauri na kusifia bila kujali yupo wapi.

Tunahitaji muwakilishi anayefahamu kuwa anatuwakilisha si anawakilisha serikali, Kiongozi anayefahamu kuwa yeye si sehemu ya Serikali yeye ni muwakilishi wa wananchi kwahiyo anaisimamia serikali.

Ikiwa tutashiriki Uchaguzi basi tupate wawakilishi sahihi.
 
Apigwe Chini na hakuna kumfaulisha ila kwa walivyo wale wajinga utashangaa jamaa karudi tena bungeni hio ndio raha ya kuwaongoza Wajinga sababu mjinga ni mjinga tu hakuna anachojua hakuna anachoelewa wewe mpe Khanga, Tshirt, Kitenge na Kofia, piga machata kwenye bodaboda mpe mjinga, atabakia na ujinga wake na hatokuhoji kitu kila utachosema mjinga atakubari kwamba upo sahihi Muheshimiwa Five Again
 
Naona na watu wengi wanasema mitano tena... Yeye alijitangazia mapema kuwa atagombea tena

View: https://www.instagram.com/reel/DJdlnT4PFGt/?igsh=MWJjMjBqdHEzeTN6OA==
 
Uchaguzi mkuu unakaribia na katika jimbo la Simanjiro wanatajwa wengi kuwania nafasi ya ubunge , Tunahitaji angalau wawakilishi wenye kiwango kikubwa cha Elimu ,si elimu itasaidia lakini angalau itawafanya wabunge kuwa waadilifu.

Huenda isifanye wawe waadilifu lakini basi itawafanya waweze kufikiria kikamilifu na si kupelekwa pelekwa kwasababu ya kutokua na uwezo wa kufikiri ama kuamua kwa mantiki.

Hatuhitaji wawakilishi wenye Njaa maana mwenye njaa Hana msimamo.

JK wa kwanza alisema Hatuhitaji wanasiasa Malaya Malaya ambao wananunulika,nami nasema tunahitaji wanasiasa wenye misimamo thabiti kwaajili ya wananchi anao wawakilisha.

Mwanasiasa anaye sifia tu jimboni hakuna barabara Wala maji lakini akisimama bungeni kuchangia bajeti ya wizara ya Uchukuzi anasifia sifia tu hapana hatuhitaji tunahitaji anayeweza kukosoa kushauri na kusifia bila kujali yupo wapi.

Tunahitaji muwakilishi anayefahamu kuwa anatuwakilisha si anawakilisha serikali, Kiongozi anayefahamu kuwa yeye si sehemu ya Serikali yeye ni muwakilishi wa wananchi kwahiyo anaisimamia serikali.

Ikiwa tutashiriki Uchaguzi basi tupate wawakilishi sahihi.

Gq-zsaJXMAAdta5.jpeg
 
Back
Top Bottom