paAliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini, wakiwemo wa CHADEMA, CCM, na ACT-Wazalendo, kuonesha ukomavu wa kisiasa kwa kuweka kando tofauti zao na kukutana kwa mazungumzo ya pamoja kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Akizungumza na wanahabari mkoani Dar es Salaam siku ya Ijumaa, Mbatia amesema kuwa kuna haja ya kujenga maridhiano mapema badala ya kusubiri hali ya sintofahamu itokee au kutafuta lawama baada ya madhara kutokea.
Ametahadharisha kuwa kupotea kwa maisha ya mtu mmoja katika muktadha wa kisiasa ni hasara isiyoweza kurekebishwa, na hivyo ni muhimu kila upande kuwa na utulivu wa fikra na kutumia nafasi iliyopo ya mazungumzo.
Ameeleza kuwa bado kuna nafasi ya kufanya maridhiano ya kweli, ikiwa ni pamoja na kujadili uwezekano wa kusogeza mbele tarehe ya uchaguzi iwapo itahitajika, ili kuhakikisha mazingira ya uchaguzi yanakuwa huru, ya haki, na yenye amani.
Kauli hiyo imekuja wakati ambapo hali ya kisiasa nchini inaendelea kushika kasi kuelekea uchaguzi wa mwaka 2025, huku baadhi ya wanasiasa na makundi ya kiraia wakitoa maoni tofauti kuhusu mazingira ya uchaguzi na mustakabali wa demokrasia ya Tanzania.
UMUHIMU WA HOTUBA HIZI ZIWEKWE KATIKA VIJARIDA VYA KIDIJITALI NDANI YA TOVUTI ZA CHAMA
Tatizo ni kuwa viongozi wa kisiasa Tanzania hawapo karibu na umma ku share mambo makubwa aliyoyasema James Mbatia kwa wakati yanapotendeka. Wanatupa simulizi baada ya muda mrefu usio muafaka kupita.
Wataibuka woote lakini NRNE imepenyaAliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini, wakiwemo wa CHADEMA, CCM, na ACT-Wazalendo, kuonesha ukomavu wa kisiasa kwa kuweka kando tofauti zao na kukutana kwa mazungumzo ya pamoja kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Akizungumza na wanahabari mkoani Dar es Salaam siku ya Ijumaa, Mbatia amesema kuwa kuna haja ya kujenga maridhiano mapema badala ya kusubiri hali ya sintofahamu itokee au kutafuta lawama baada ya madhara kutokea.
Ametahadharisha kuwa kupotea kwa maisha ya mtu mmoja katika muktadha wa kisiasa ni hasara isiyoweza kurekebishwa, na hivyo ni muhimu kila upande kuwa na utulivu wa fikra na kutumia nafasi iliyopo ya mazungumzo.
Ameeleza kuwa bado kuna nafasi ya kufanya maridhiano ya kweli, ikiwa ni pamoja na kujadili uwezekano wa kusogeza mbele tarehe ya uchaguzi iwapo itahitajika, ili kuhakikisha mazingira ya uchaguzi yanakuwa huru, ya haki, na yenye amani.
Kauli hiyo imekuja wakati ambapo hali ya kisiasa nchini inaendelea kushika kasi kuelekea uchaguzi wa mwaka 2025, huku baadhi ya wanasiasa na makundi ya kiraia wakitoa maoni tofauti kuhusu mazingira ya uchaguzi na mustakabali wa demokrasia ya Tanzania.
Kwani Mzito Kabwela yeye amesemaje juu ya mwito huu!Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini, wakiwemo wa CHADEMA, CCM, na ACT-Wazalendo, kuonesha ukomavu wa kisiasa kwa kuweka kando tofauti zao na kukutana kwa mazungumzo ya pamoja kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Akizungumza na wanahabari mkoani Dar es Salaam siku ya Ijumaa, Mbatia amesema kuwa kuna haja ya kujenga maridhiano mapema badala ya kusubiri hali ya sintofahamu itokee au kutafuta lawama baada ya madhara kutokea.
Ametahadharisha kuwa kupotea kwa maisha ya mtu mmoja katika muktadha wa kisiasa ni hasara isiyoweza kurekebishwa, na hivyo ni muhimu kila upande kuwa na utulivu wa fikra na kutumia nafasi iliyopo ya mazungumzo.
Ameeleza kuwa bado kuna nafasi ya kufanya maridhiano ya kweli, ikiwa ni pamoja na kujadili uwezekano wa kusogeza mbele tarehe ya uchaguzi iwapo itahitajika, ili kuhakikisha mazingira ya uchaguzi yanakuwa huru, ya haki, na yenye amani.
Kauli hiyo imekuja wakati ambapo hali ya kisiasa nchini inaendelea kushika kasi kuelekea uchaguzi wa mwaka 2025, huku baadhi ya wanasiasa na makundi ya kiraia wakitoa maoni tofauti kuhusu mazingira ya uchaguzi na mustakabali wa demokrasia ya Tanzania.
Sijui mnaomchukuliaga serious huyu. Mwaka 2020 alitumika na Magufuli, kuna hela alipewa akanunulia nyumba badala ya kupeleka kwenye chama. Mwaka 2020 wakati wa Mkapa altumika kuikandamiza CUF.Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini, wakiwemo wa CHADEMA, CCM, na ACT-Wazalendo, kuonesha ukomavu wa kisiasa kwa kuweka kando tofauti zao na kukutana kwa mazungumzo ya pamoja kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Akizungumza na wanahabari mkoani Dar es Salaam siku ya Ijumaa, Mbatia amesema kuwa kuna haja ya kujenga maridhiano mapema badala ya kusubiri hali ya sintofahamu itokee au kutafuta lawama baada ya madhara kutokea.
Ametahadharisha kuwa kupotea kwa maisha ya mtu mmoja katika muktadha wa kisiasa ni hasara isiyoweza kurekebishwa, na hivyo ni muhimu kila upande kuwa na utulivu wa fikra na kutumia nafasi iliyopo ya mazungumzo.
Ameeleza kuwa bado kuna nafasi ya kufanya maridhiano ya kweli, ikiwa ni pamoja na kujadili uwezekano wa kusogeza mbele tarehe ya uchaguzi iwapo itahitajika, ili kuhakikisha mazingira ya uchaguzi yanakuwa huru, ya haki, na yenye amani.
Kauli hiyo imekuja wakati ambapo hali ya kisiasa nchini inaendelea kushika kasi kuelekea uchaguzi wa mwaka 2025, huku baadhi ya wanasiasa na makundi ya kiraia wakitoa maoni tofauti kuhusu mazingira ya uchaguzi na mustakabali wa demokrasia ya Tanzania.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini, wakiwemo wa CHADEMA, CCM, na ACT-Wazalendo, kuonesha ukomavu wa kisiasa kwa kuweka kando tofauti zao na kukutana kwa mazungumzo ya pamoja kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Akizungumza na wanahabari mkoani Dar es Salaam siku ya Ijumaa, Mbatia amesema kuwa kuna haja ya kujenga maridhiano mapema badala ya kusubiri hali ya sintofahamu itokee au kutafuta lawama baada ya madhara kutokea.
Ametahadharisha kuwa kupotea kwa maisha ya mtu mmoja katika muktadha wa kisiasa ni hasara isiyoweza kurekebishwa, na hivyo ni muhimu kila upande kuwa na utulivu wa fikra na kutumia nafasi iliyopo ya mazungumzo.
Ameeleza kuwa bado kuna nafasi ya kufanya maridhiano ya kweli, ikiwa ni pamoja na kujadili uwezekano wa kusogeza mbele tarehe ya uchaguzi iwapo itahitajika, ili kuhakikisha mazingira ya uchaguzi yanakuwa huru, ya haki, na yenye amani.
Kauli hiyo imekuja wakati ambapo hali ya kisiasa nchini inaendelea kushika kasi kuelekea uchaguzi wa mwaka 2025, huku baadhi ya wanasiasa na makundi ya kiraia wakitoa maoni tofauti kuhusu mazingira ya uchaguzi na mustakabali wa demokrasia ya Tanzan
Wee mwandishi ni kanjanja kweli, huyo ni mwenyekiti alisharudishwa na mahakamaAliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ametoa wito kwa viongozi wa vyama vyote vya siasa nchini, wakiwemo wa CHADEMA, CCM, na ACT-Wazalendo, kuonesha ukomavu wa kisiasa kwa kuweka kando tofauti zao na kukutana kwa mazungumzo ya pamoja kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Akizungumza na wanahabari mkoani Dar es Salaam siku ya Ijumaa, Mbatia amesema kuwa kuna haja ya kujenga maridhiano mapema badala ya kusubiri hali ya sintofahamu itokee au kutafuta lawama baada ya madhara kutokea.
Ametahadharisha kuwa kupotea kwa maisha ya mtu mmoja katika muktadha wa kisiasa ni hasara isiyoweza kurekebishwa, na hivyo ni muhimu kila upande kuwa na utulivu wa fikra na kutumia nafasi iliyopo ya mazungumzo.
Ameeleza kuwa bado kuna nafasi ya kufanya maridhiano ya kweli, ikiwa ni pamoja na kujadili uwezekano wa kusogeza mbele tarehe ya uchaguzi iwapo itahitajika, ili kuhakikisha mazingira ya uchaguzi yanakuwa huru, ya haki, na yenye amani.
Kauli hiyo imekuja wakati ambapo hali ya kisiasa nchini inaendelea kushika kasi kuelekea uchaguzi wa mwaka 2025, huku baadhi ya wanasiasa na makundi ya kiraia wakitoa maoni tofauti kuhusu mazingira ya uchaguzi na mustakabali wa demokrasia ya Tanzania.
Ameshinda kesi ya kuondolewa uongozini lakini siyo kiongozi wa NCCR kwa vile lazima uchaguzi ufanyikeWee mwandishi ni kanjanja kweli, huyo ni mwenyekiti alisharudishwa na mahakama
Ahah shukraniAmeshinda kesi ya kuondolewa uongozini lakini siyo kiongozi wa NCCR kwa vile lazima uchaguzi ufanyike
Kilichoamuliwa ni kutopewa nafasi ya kujitetea kabla ya uamuzi wa kumvua uanachama na kipoteza nafasi ya kuwa mkiti.
Uamuzi huo hamrejeshei nafasi ya kuwa tena mkiti kwa kuwa alikwishamaliza muda wake ktk nafasi hiyo kwa mujibu wa katiba na chama kilikwishafanya uchaguzi ambao haujalalamikiwa popote.
Lakini hata kama isingekuwa hivyo alisimamishwa na halmashauri kuu uamuzi ambao pia haukuhojiwa popote.
Jambo lililobaki ni uanachama wake. Hilo ataitwa na kupewa hiyo nafasi ya kujieleza kisha kufanya maamuzi ambayo hayatakuwa tofauti na yale ya awali.