James Katie: Mjue vizuri kiungo 'matata' Mghana anayetarajiwa kusaini Simba

Leo Chirwa kaishia kuruka ruka tu.Wamechezesha timu mbili bado wamekwaa viwili. Kocha huyu akifika Februari ana bahati.


Ila uzuri wake huwaga aruki ruki akiwa kwenye mechi za Ligi.....


Kama ukiniambia kwenye Ligi pia huwa anaruka ruka.... Basi tuseme pia Mavugo huwa "anapaa paa" kabisa...


 
We utakuwa umemsahau pa shermah
 
Kwa hiyo unataka nuniambia kuwa zulu Zesco hajacheza hata mechi moja? sasa huyu Lwandamina alipendezewa nae vipi?
 
We utakuwa umemsahau pa shermah
Mkuu Kper Sherman hakuwa galasa. Alichelewa tu kuanza kutupia Nyavuni.... Ila aliisaidia Klabu yake Yanga kubeba Ndoo.

Ugalasa ni pale unapopewa nafasi kama Kiongera na Sserenkuma na kushindwa kutimiza haja.

Huyo Jamaa wenu ni Galasa tu.... Ukizingatiza na huko alikotoka.
 
Performance yake ni nzuri.Mechi ya Ndanda alicheza dakika 15 akaumizwa. Mechi ya JKT Ruvu alibadilishwa dakika ya 80.Kocha anaonyesha kumuamini.
 
Huyu mbona hajaonyesha cheche kama Patrick huyu dogo ndio anatakiwa aitwe kata upepo
 
Mkuu bado unaendelea na huu msimamo au James Agyekum Kotei Invicible wall kakuadhiri
 
Shida unajifanya mjuaji Sana.
then loporopo

Una,Maoni Gani na Kotei kwa Sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…