Jameni Uchina imekua kama mwisho wa dunia, Armageddon, mji wa pili wafungwa kwa kirusi

Huo ugonjwa unawakata wachina Kama vifo vya kuku .... Una kila sifa Kama ebola ... Home kali, kichwa kuuma kama kupasuka , joto kuwa juu ... Mpaka bleeding ... Ingien kwenye social networks za china muone watu wanavyokufa wakiwa wanatembea barabarani kwa huo ugonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu ibaki huko huko China aisee ya kwetu Africa yanatutosha matishio ya Ebola na dengue bado yapo Mungu atuepushe na mkono wa mwakatrump
Ugonjwa umeshaeneo maeneo mengi duniani . Kitakachokuwema hai ni mfumo imara wa huduma za afya katika nchi yako ...


Ingia hapa uone ugonjwa ulivyosambaa mpaka Sasa duniani Coronavirus – Google My Maps


Kama nchi tujipange vizuri Sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakwambia Ebola imedhibitiwa, kuanzia tarehe 8 January 2020 case 8 zimeibuliwa za wagonjwa wapya Congo ... Ingia hapa uone updates za Ebola Ebola virus disease – Democratic Republic of the Congo




Sent using Jamii Forums mobile app
Maana yangu ni kwamba huo ugonjwa wa china hauwezi maliza dunia Ebola na kuwa hatari inathibitiwa haisambai duniani kote na sometimes cases zinaisha kabisa na kuja kuibuka baadae.
Yani ingekuwa haijathibitiwa kipindi imeibuka Africa ya kati ingemaliza bara lote la Africa
 
Maana yangu ni kwamba huo ugonjwa wa china hauwezi maliza dunia Ebola na kuwa hatari inathibitiwa haisambai duniani kote na sometimes cases zinaisha kabisa na kuja kuibuka baadae.
Yani ingekuwa haijathibitiwa kipindi imeibuka Africa ya kati ingemaliza bara lote la Africa
Coronavirus – Google My Maps

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ugonjwa unawakata wachina Kama vifo vya kuku .... Una kila sifa Kama ebola ... Home kali, kichwa kuuma kama kupasuka , joto kuwa juu ... Mpaka bleeding ... Ingien kwenye social networks za china muone watu wanavyokufa wakiwa wanatembea barabarani kwa huo ugonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
U make t sound like a "WW3 movie" . Vifo vilivyoripotiwa paka sasa ni watu 41, acha zako wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au labda wamehujumiwa hawa....dunia tutamalizwa kimya kimya, juzi tiba ya kuponya cancer imegunduliwa, hatujatulia hili nalo limeibuka, sasa haya Machina yalivyo na mazoea ya kuja huku Afrika kihivi hivi tu.....tutazikana mpaka tukome, Mungu atuepushe.
------------------------------------------------

'It feels like the end of the world': SECOND Chinese city is put in lockdown and Wuhan is turned into 'ground zero' as experts warn the coronavirus outbreak could spread at levels not seen since SARS crisis
  • More than 580 coronavirus cases have been confirmed, with most in China
  • The city of Wuhan, the outbreak's centre, is nearing the end of a day in lockdown
  • Videos show traffic jams and people scrapping in a crowded supermarket
  • European health officials said 'further global spread is likely' in a report
  • A World Health Organization meeting last night was inconclusive
A second city in China is going into lockdown to try and stop the spread of a deadly new virus which has emerged in the country.

Authorities in Huanggang today announced it would suspend its public buses and trains as well as ordering cinemas and internet cafes to close their doors.

The development comes as Wuhan – the city at the centre of the outbreak – nears the end of its first day in lockdown, with all flights out of the city cancelled and residents told not to leave.

Videos have shown chaos in Wuhan today, with footage depicting a government worker using gas to disinfeca park, traffic building up on a blocked highway and people scrapping over food in a crowded supermarket.


Ingependeza sana gonjwa hilo likaelekea marekani,,
 
Back
Top Bottom