Jameni Uchina imekua kama mwisho wa dunia, Armageddon, mji wa pili wafungwa kwa kirusi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,756
48,403
Au labda wamehujumiwa hawa....dunia tutamalizwa kimya kimya, juzi tiba ya kuponya cancer imegunduliwa, hatujatulia hili nalo limeibuka, sasa haya Machina yalivyo na mazoea ya kuja huku Afrika kihivi hivi tu.....tutazikana mpaka tukome, Mungu atuepushe.
------------------------------------------------

'It feels like the end of the world': SECOND Chinese city is put in lockdown and Wuhan is turned into 'ground zero' as experts warn the coronavirus outbreak could spread at levels not seen since SARS crisis
  • More than 580 coronavirus cases have been confirmed, with most in China
  • The city of Wuhan, the outbreak's centre, is nearing the end of a day in lockdown
  • Videos show traffic jams and people scrapping in a crowded supermarket
  • European health officials said 'further global spread is likely' in a report
  • A World Health Organization meeting last night was inconclusive
A second city in China is going into lockdown to try and stop the spread of a deadly new virus which has emerged in the country.

Authorities in Huanggang today announced it would suspend its public buses and trains as well as ordering cinemas and internet cafes to close their doors.

The development comes as Wuhan – the city at the centre of the outbreak – nears the end of its first day in lockdown, with all flights out of the city cancelled and residents told not to leave.

Videos have shown chaos in Wuhan today, with footage depicting a government worker using gas to disinfeca park, traffic building up on a blocked highway and people scrapping over food in a crowded supermarket.

Sidhanii kama maradhi yakupelekewa maana hawa Wachina Tambi Wala hovyo Saaa Ijapokua ina wezekana maana wazungu watu wauaji sanaaa

Hua hawasiti kuku rip kama ndio njia yakupata maslahi yao
Vita mpya ya kuifanya China kitega uchumi cha NATO...

Wazungu sio watu wazuri.... Hahahaha haha...

Wame pelekeshana pelekeshana kwenye kuongezeana kodi sasa wana pelekeana magonjwa hahahahahahaa
Ila kama Ingekua AFRIKA Tungeondoka Zaidi Ya Wanavyo Ondoka UCHINA Ila Kama Ni UCHINA nisuala la muda tu sasa hv watu wapo maabara wanafanya yao

Afrika mpaka wanaotuletea maradhi wajifanye watu wema tena waje walete na tiba shame

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Us washafanya yao hiyo ni vita ya kiuchumi imewaponza wachina juzikati Trump kajifanya ku sign sijui contract gani kumbe ana yake
 
Tunavyozikana kwa maradhi ya hovyoo kama Malaria kisa tumekosa vyandarua. Mtiti kama huu unaowatesa Wachina ukitufikia tutapoteana huku, kila mtu ataelekea njia ya kwenda kwao, hehehe kama ilivyokua kwa mabomu ya Mbagalla, kila Mbongo alikumbuka kwao kijijini.
Pambafu umenichekesha sana 😂😂😂😂😂😂
 
Au labda wamehujumiwa hawa....dunia tutamalizwa kimya kimya, juzi tiba ya kuponya cancer imegunduliwa, hatujatulia hili nalo limeibuka, sasa haya Machina yalivyo na mazoea ya kuja huku Afrika kihivi hivi tu.....tutazikana mpaka tukome, Mungu atuepushe.
------------------------------------------------

'It feels like the end of the world': SECOND Chinese city is put in lockdown and Wuhan is turned into 'ground zero' as experts warn the coronavirus outbreak could spread at levels not seen since SARS crisis
  • More than 580 coronavirus cases have been confirmed, with most in China
  • The city of Wuhan, the outbreak's centre, is nearing the end of a day in lockdown
  • Videos show traffic jams and people scrapping in a crowded supermarket
  • European health officials said 'further global spread is likely' in a report
  • A World Health Organization meeting last night was inconclusive
A second city in China is going into lockdown to try and stop the spread of a deadly new virus which has emerged in the country.

Authorities in Huanggang today announced it would suspend its public buses and trains as well as ordering cinemas and internet cafes to close their doors.

The development comes as Wuhan – the city at the centre of the outbreak – nears the end of its first day in lockdown, with all flights out of the city cancelled and residents told not to leave.

Videos have shown chaos in Wuhan today, with footage depicting a government worker using gas to disinfeca park, traffic building up on a blocked highway and people scrapping over food in a crowded supermarket.

Kama ebola ilithibitiwa hata hii itathibitiwa binadamu hatuwezi kufa tukaisha we are here to stay
 
Sidhanii kama maradhi yakupelekewa maana hawa Wachina Tambi Wala hovyo Saaa Ijapokua ina wezekana maana wazungu watu wauaji sanaaa

Hua hawasiti kuku rip kama ndio njia yakupata maslahi yaoIla kama Ingekua AFRIKA Tungeondoka Zaidi Ya Wanavyo Ondoka UCHINA Ila Kama Ni UCHINA nisuala la muda tu sasa hv watu wapo maabara wanafanya yao

Afrika mpaka wanaotuletea maradhi wajifanye watu wema tena waje walete na tiba shame

Sent using Jamii Forums mobile app
China wamesha katika watu kibao, sema wameficha takwimu halisi ya walio kufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au labda wamehujumiwa hawa....dunia tutamalizwa kimya kimya, juzi tiba ya kuponya cancer imegunduliwa, hatujatulia hili nalo limeibuka, sasa haya Machina yalivyo na mazoea ya kuja huku Afrika kihivi hivi tu.....tutazikana mpaka tukome, Mungu atuepushe.
------------------------------------------------

'It feels like the end of the world': SECOND Chinese city is put in lockdown and Wuhan is turned into 'ground zero' as experts warn the coronavirus outbreak could spread at levels not seen since SARS crisis
  • More than 580 coronavirus cases have been confirmed, with most in China
  • The city of Wuhan, the outbreak's centre, is nearing the end of a day in lockdown
  • Videos show traffic jams and people scrapping in a crowded supermarket
  • European health officials said 'further global spread is likely' in a report
  • A World Health Organization meeting last night was inconclusive
A second city in China is going into lockdown to try and stop the spread of a deadly new virus which has emerged in the country.

Authorities in Huanggang today announced it would suspend its public buses and trains as well as ordering cinemas and internet cafes to close their doors.

The development comes as Wuhan – the city at the centre of the outbreak – nears the end of its first day in lockdown, with all flights out of the city cancelled and residents told not to leave.

Videos have shown chaos in Wuhan today, with footage depicting a government worker using gas to disinfeca park, traffic building up on a blocked highway and people scrapping over food in a crowded supermarket.

But still not dangerous as Ebola
 
Back
Top Bottom