Jambo lipi ni sahihi kunywa dawa kabla ya kula au baada ya kula?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Karibuni kwa mchango wa mawazo khs swala hilo la unywaji wa dawa jambo lipi ni sahihi!
 
Inategemea na aina ya dawa, kama ni dawa ya minyoo ni kabla ya kula inafaa zaidi kama dawa ana nguvu nyingi inashauriwa uinywe baada ya kula. Labda ungefafanua ni dawa ya aina gani unayoizungumzia.
 
Dawa nnayoongelea ni hizi za typhoid(ciplo) pamoja na za kifua(bromoxil) kuna ya maji pia kwajili ya kikohozi wanaita mkojo wa punda(M.E.S) na je kuna uwezekano wowote wa kujumuisha dawa kama dawa na muda muafaka wa kunywa kat ya kabla/baada ya kula!
 
Inategemea na aina ya dawa, kama ni dawa ya minyoo ni kabla ya kula inafaa zaidi kama dawa ana nguvu nyingi inashauriwa uinywe baada ya kula. Labda ungefafanua ni dawa ya aina gani unayoizungumzia.

Dat wassup!
 
Back
Top Bottom