Jambo limezua jambo

Bendera yenyewe inamwelemea huyu kibaraka!!!! Atakuwa alizikunja noti za kutosha!!!! Kulikuwa na individual invitation za kuwazoa wanafunzi katika higher learning na walilipwa kwa ajili hiyo!!!! MASSM wanahangaika sana!!
 
Hili ndilo tatizo la nchi yetu, eti kuna watanzania wenye asili ya Asia lakini hakuna watanzania wenye asili ya Burundi, Kenya au Msumbiji! Baada ya Tanganyika kurudi ndo tutakuwa na Watanzania wenye asili za Zanzibar!
 
Hiyo ndiyo taswira ya wasomi wa Tanzania, wote ni wanasiasa, wachumia tumbo na wana Price Tag.
 
Mwanasheria msomi issa shivji, ngumi jiwe
 
Anazeeka vibaya huyo.afu anajua kuwa ccm hawana adabu watamsakama kuwa si raia watz.iliafunge mdomo
 
Hakuna Mhindi wa maana duniani, wote ni opportunistic. wahindi watoaji wakubwa sana wa rushwa, Shivji is not an exception> Usimwamini mhindi, hapa ni mchumia tumbo kwao ni India!

Mkuu ngoja magabachori wenzie waje kukujibu wanatumia jf siku hizi
 
Ni chumia tumbo mwingine tu huyu. Kama kawaida washiriki walisombwa kutoka vyuoni na kuhongwa ili wakateme upu pu!!! Intellectual Shivji umejishushia hadhi.
 
Mnataka Watanzania wote wawe na maoni kama ya magwanda?

jk tutamkumbuka kwa kuvunja muungano,kawaruhusu wazanzibari wavunje muungano kwa ile katiba yao huku anakenua meno,nasikia yupo liverpool anamsaka sturridge na suarez apige nao picha,akipata picha zao anaibukia london kupiga picha na eden hazard,safari ya 400 by the way...
 
Mkuu ngoja magabachori wenzie waje kukujibu wanatumia jf siku hizi

Tuna ushahidi ambao hautafutika , Mwalimu Nyerere alimwamini sana Jama wakati ule Waziri wa pesa. Alimwamini sana tena sana. Lakini kumbe alikuwa na uraia wa Canada-nchi mbili. Alipoungua alikwenda Canada kutibiwa na akazikwa huko. Nyerere alisikitika sana akasema kumbe kikulacho kiko nguoni mwako!
 
Ndugu huo Mkutano haukuandaliwa na MACCM, Umeandaliwa na Wizara ya Habari, Michezo na Vijana.
So ni Kodi zetu zimetumika kuandaa kikao cha Vijana wa CCM kwa mgongo wa Wizara ya habari kuwa kikao ni cha Vijana wa vyuo vikuu.
 

Du!, kumbe manejo haya ya Prof. Shivji, yalilipiwa na CCM?!.
Kama uliisha yasoma, ita fine!, hapa nayaweka kama reference just incase kwa wale ambao hawakusoma au kusikia Prof. Shivji, alisema nini.
Hotuba ya Prof. Issa Shivji akitetea Serikali Mbili

Pasco
 
Mzee kishastaafu na pesa hana hivyo ccm ndiyo inameweja mjini kwa sasa bila hivyo angekua kilosa kwao sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…