Kwani kumwambia mtu unampenda anakushitaki vipi mkuu mbona waja sasa? nimewambia sana na wakazidi kunipenda sasa wewe unapindisha mbona? Anishitaki kwa lipi hapo?
ungwa kwa kuwaambia mademu wanawapenda? mkuu umefulia hapo duuuuuu.....nimeshachakachua demu wa Kijeruman na nilimwambia sana hivyo mbona hajanishitaki, au sheria yako mpya hiyo? Hata Hetler alikuwa anaambiwa vile vile