Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,617 Sep 1, 2016 #1 Mobisol wanaondoa giza, wanaingiza mwanga nyumbani mwako. Tuwasiliane upate maelekezo kwa kina.
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,453 Reaction score 46,233 Sep 2, 2016 #2 Giza gani hilo au hili la leo la kupatwa kwa Mwezi?
Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,617 Sep 3, 2016 Thread starter #3 Frank Wanjiru said: Giza gani hilo au hili la leo la kupatwa kwa Mwezi? Click to expand... Kama unaishi sehemu ambapo umeme haujafika na bado huna cash ya kununua solar / generator, ina maana usiku unatawaliwa na giza nyumbani kwako. Mobisol ndilo jibu lako.
Frank Wanjiru said: Giza gani hilo au hili la leo la kupatwa kwa Mwezi? Click to expand... Kama unaishi sehemu ambapo umeme haujafika na bado huna cash ya kununua solar / generator, ina maana usiku unatawaliwa na giza nyumbani kwako. Mobisol ndilo jibu lako.