Jambo gani la ki-UTU uliloshuhudia na bado unalikumbuka sana?

Wickama

JF-Expert Member
Mar 8, 2009
1,466
1,195
Wana JF,
Mara nyingi tukisema fulani kafanya jambo kadhaa ki-UTU au kwa sababu ya UTU huwa mara nyingi tunamaanisha kuwa kalifanya jambo husika dhidi ya mwingine/wengine kwa kuthamini ubinadamu wa mhusika/wahusika bila kujali vitu kama utaifa, nasaba, deni nk katika kuufanya huo UTU.

Japokuwa Matendo ya UTU ni mengi sana na yapo kila nyanja na kila wakati, huwa ni nadra kujulikana sana kwa vile hayatajwi sana mbele ya halaiki. Ila yana tabia MOJA maarufu. Yanakumbukwa sana na ama w/aliofanyiwa utu huo au w/alioushuhudia ukifanyika.

Nakuuliza, hadi leo unaposoma hii mada ni tendo gani la ki-UTU ulilofanyiwa au kushuhudia likifanyika kwa mwingine na limebaki na athari ya kumbukumbu akilini mwako hadi LEO
 
Serious, Membe kumuachia jimbo Nape.

Magufuli kumuacha Lugumi na Ritz waendlee kula bata na 34 b zetu.

Magufuli kumtimua Sefue Ikulu.

Na kubwa zaidi, ni utu wa Mbowe kumpokea kwa bashasha na mahaba mazito Lowasa ndani ya Chadema. Hii mm sitoisahau daima!!
 
Back
Top Bottom