Jamanii tucheke pamoja!!!!

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
13,073
Reaction score
6,642
tucheke kidogo.....twaweza katika Ubora wake!!!!!
 

Attachments

  • IMG-20150926-WA0051.jpg
    23.1 KB · Views: 1,310
you are very fool, if at all you can post nonsense in such then you dont deserve even to be born​
 
twaweza hawawezi wakato majibu yakijinga kias hicho hiyo ni taasisi ya kimataifa halafu huwezi tuambia ati tucheke kidogo kwa ujinga wako​
 
twaweza hawawezi wakato majibu yakijinga kias hicho hiyo ni taasisi ya kimataifa halafu huwezi tuambia ati tucheke kidogo kwa ujinga wako​

Unajua maana ya YAKIMATAIFA?, Ukisha fahamu hilo upunguze Mapovu hapa!
 
you are very fool, if at all you can post nonsense in such then you dont deserve even to be born​

Kuna watu huwa mnachukulia mambo ya sio na msingi serious sana hadi huruma yaani.
 
Neno twaweza linaashiria vitu vingi. mojawapo ni "twaweza kuchakachua matokeo ya tafiti"
 
Kuna watu huwa mnachukulia mambo ya sio na msingi serious sana hadi huruma yaani.

Hahahaaa,hata mimi nimeshangaa sana jamaa alivyotokwa povu!
BTW....miss you,potea sana wewe.
 
twaweza hawawezi wakato majibu yakijinga kias hicho hiyo ni taasisi ya kimataifa halafu huwezi tuambia ati tucheke kidogo kwa ujinga wako​

Duuuh kwa hili povu lililokutoka hapa unaweza fua hata magunia yakatakata
 
Tumeambiwa tucheke kidogo ila watu wamekuja wamekasirika!!!!! mbona mtoa mada katumia lugha rahisi

hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…