Jamanii nauza vitabu vya mchepuo wa pcb

Jamanii nauza vitabu vya mchepuo wa pcb

Chand biochemistry ndo kitabu gani hicho??

Inamaana biochemistry ya kwenye biology imekuwa kubwa hadi kuwa na kitabu chake??
 
Mkuu hivo ni vitabu viwili sema sikuweka alama ya mkato
 
Back
Top Bottom