Jamanii hii ni hatari ee

jamaa kafumaniwa bwana akapiga mkono jamaa asikomoe kwa madem wengine siunajua bila kiganja mautundu huwezi kufanya
 
Kwani hii ina uhusiano gani na mke wa mtu?
Ingekuwa ni kipande cha P aka people's power ningekubaliana nawe!:A S confused:
huyo alifumaniwa na mke wa mtu hiyo inamfaa sana maana "Mke wa mtu ni sumu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…