jamani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamani!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by have me baby, Apr 19, 2011.

 1. h

  have me baby Member

  #1
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hembu niambieni mana kamili ya hili neno(MAPENZI)mana nimechoka kwakulifikiria.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  unapatikana wapi?....nilitaka nikueleweshe kwa nadharia na vitendo
   
 3. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mapenzi mapenzi mapenzi!!!!!!!!!!!!

  lbd tungemuuliza yule mwanafunzi aliyependwa sana na Yesu, ambaye aliegama kifuani mwa Yesu wakati wa chakula cha mwisho lkn pamoja na mapenzi hayo yote alimsaliti Yesu!!!!!

  aaaaaahhhhhhhh!!!!!!! Mfalme suleimani akasema katika Mhubiri, mambo yote chini ya jua ni ubatili mtupu na kujilisha upepo!!!!!!!!!!
   
 4. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Bibilia gani hiyo uliyoisoma??
   
 5. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Makabayo
   
 6. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  makabayo ina stori za Yesu??...hebu ka-edit kwenye comment yako kuhusu mwanafunzi ya Yesu,
  hii pasaka watu tuko-deep kwenye stori za Jesus...lol
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahahahahaha! Preta umenifurahisha sana.
   
 8. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kama uko deep nipe mstari sahihi wewe!!!

  una maana gani kuniuliza biblia gani kwani ww unatumia biblia gani????
   
 9. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  wasomaji wa biblia wanajua kabisa aliye-egama kifuani kwa Yesu alikuwa anaitwa Yohana, mwanafunzi aliyempenda sana,
  Na aliye msaliti anaitwa Yuda Iskarioti..
  nafikiri nimejibu..
   
 10. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  usipoteze muda kufikiria mapenzi utaumwa kichwa bureee
  wewe jua tu kuwa mapenzi ni usanii na ubunifu.no habari ndefu
   
 11. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Na zaidi uchafu na uongo
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  we umelisikia wapi hilo neno?
  nijuavyo mimi ni neno linalo tumiwa sana na watu wakubwa
   
 13. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Preta asante kwa kuniongezea siku za kuishi maana nimecheka hadi basi
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hembu watafute Speaker na Ivunga
  hao wanajua mizizi mpaka matawi..
  ya hilo neno..
   
 15. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Je uko tayari kuelezwa practically???
   
 16. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280

  wewe hebu karudie kusoma tena upya........
   
 17. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mh!isijekuwa maneno ma2pu.
   
 18. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  utaweza ?
   
 19. h

  have me baby Member

  #19
  Apr 25, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utaweza lakini?
   
Loading...