JAMANI, YAMENIKUTA. Msaada wenu wa haraka sana tafadhali.

JAMANI, YAMENIKUTA. Msaada wenu wa haraka sana tafadhali.

IzukeneJr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
758
Reaction score
753
Ndugu wana jamvi, jana niliinstal UBUNTU linux kwene laptop yangu. Kukawa na OS mbili yaan UBUNTU na WINDOW 7. Baadae nikataka niitoe win 7 niweke win 8. Wakat nainstal win 8 ilistack nikaamua kucancel instalation. Tatizo sasa linakuja kwamba nikiiwasha inaniandikia "GRUB RESCUE>..." inaniruhusu niingze command ambayo ciifaham eb nisaidien ndugu zangu nifanye nin hapa?
 
GRUB RESCUE ni error ya ubuntu jia rahsi hapo ya kufanya download ubuntu boot repair disk iso than burn ktk cd reboot halafu repair ubuntu. kwishnehi

chukua hapa Download boot-repair-disk from SourceForge.net

jaribu
 
sasa mkuu kwani wee hasa unataka ku install windows gani katika computer yako 7 8 au ubuntu au unataka ku install windows zote 3 katika computer hiyo moja ningali kushauri install windows moja tu ili uipe mashine yako uhuru la si hivyo mashine inaweza kua slow na hapo ilipofikia inakubadi usi repare bora tuu uformart na kama una data zako unamuhimu nazo ibdi toa hard disc yako na uiconect katika mashine nyengina ili ukopi hizo data zako halafu toa uweke katika mashine yako na uformat kwa ushauri wangu mimi lakini ingia hapa utapata windows zote unazo taka

The Pirate Bay - The galaxy's most resilient bittorrent site
 
hahahaha kuna solution zingine kama nguvu za giza, unaumwa upele dokta anakwambia nenda kaoge maji ya baharini
 
Back
Top Bottom