P Puza Senior Member Joined Dec 11, 2010 Posts 106 Reaction score 12 Oct 23, 2011 Thread starter #21 Mh nahisi labda hawa jamaa washazidiwa nashagaa hata kuchange password nayajibu yale maswali kwa ufasaha inagoma. Nahisi kale kaidea ka uhuru wa kuchagua kanaclick lakin aahh hii ni email a/c ya kitambo sana cjui hata nfanyaje???????????
Mh nahisi labda hawa jamaa washazidiwa nashagaa hata kuchange password nayajibu yale maswali kwa ufasaha inagoma. Nahisi kale kaidea ka uhuru wa kuchagua kanaclick lakin aahh hii ni email a/c ya kitambo sana cjui hata nfanyaje???????????