Jamani Wtz kuna hili la BoT kulizwa tena..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Wtz kuna hili la BoT kulizwa tena.....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chief Isike, Jan 1, 2011.

 1. Chief Isike

  Chief Isike JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hili suala ni kama vile limeshindwa kupata mwitikio sahihi, KWA BAHATI MBAYA SANA sijaweza kulisoma gazeti lililoripoti habari hiyo TZ DAIMA, mbali ya kuwa niliweza kulisikia likisomwa kwenye tv, nimejaribu kupata kopi 'nilivyorudi' sijafanikiwa, kwenye mtandao wao pia hawaja-post mpaka leo, mwaka mpya...

  This is another very serious case, a new thing has been placed in our 'market' of mega scandals...fedha hazijaingia katika mzunguko tayari kuna watu wamezikwapua!!!!!!! Eti uwanja wa ndege...why, na kwa nini imewezekana kirahisi hivyo!!!!!! Tunaelekezwa wapi. Naomba kuwasilisha, maana ni kama vile hata hapa halijapatiwa nafasi stahili (sijaona thread yoyote)
   
 2. Chief Isike

  Chief Isike JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  Sorry nafikiri ni 10 billions of money...oooh mpaka natishika bilioni 10 hivi hivi
   
Loading...