Jamani weuweee!!!!!!!!!

kajoli.com

Member
Mar 4, 2012
42
5
Yaliyomo yamoo! Mfanyabiashara mmoja mzaliwa wa muheza tanga. mwenye kupenda sifa na majivunoaliamua kutimba usukumani na kuoa, siku moja mbele ya rafiki zake akijisifu kuwa yeye ni mjanja na ameoa kifaaaliwaalika marafiki zake kwa chakula cha mchana ili amtambulishe mkewe kipenzi. Huko jikoni mambo yalikuwa siyo kwanibi mkubwa alikuwa akishangaa kuona nazi kati ya madikodiko aliyoleta mumewe,asijue la kufanya. katika kuokoa muda akamua kuitosa katikati ya maharagwe yaliyokuwa yakitokota nzima na uzima wake. Muda ulipowadia mama akapakua wali kwenye sinia kubwa na baada ya kunyunyiza maharagwe akaiwka nazi nzimanzima katikati ya sahani, kwa sauti ya madaha akasikika akisema Krhibuni chakuuuula!!!!
 
Natokea mlango wa uani hafu sirudi moja kwa moja internet cafe kwenda kuchat jf hadi usikuuu!
 
hajawapa kibao cha mbuzi cha kuikwangulia hiyo nazi mbona??
 
Back
Top Bottom