Jamani wenzangu naomba mnisaidie kazi mwenzenu

Siku nyingine usirudie kubeg namna hio,
Orodhesha sifa ulizonazo,elimu yako,uzoefu wako
Na siku nyingine utapoulizwa kwanini unataka kazi,'njaa' lisiwe jibu la kwanza
Fanya hivyo na watu wenye uhitaji watakutafuta
 
Jamani wenzangu naomba mnisaidie kazi mwenzenu.
Maisha yanakuwa magumu hapa mjini kila kukicha.
Mimi ni kijana wa miaka 24 natokea Kagera.
Naomba msaada wa kazi yoyote ile ya kunisogeza mbele kimaisha.
Ombi kama hili huwa linatakiwa liambatane na ujuzi, uzoefu na kiwango cha elimu ulichonacho...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom