i cant believe wana it mnashindwa differentiate gsm na cdma. Ishu ipo hivi
Modem za ttcl, zantel na sasatel haziwezi ingia lain za tigo, voda, na airtel (labda yesu arudi)
Ni technolojia 2 tofauti gsm inatoka europe na cdma inatoka marekani ili utumie cdma kwa gsm au gsm kwa cdma lazima uchangue modem yote ubadili kila kitu (and i don think kama hii ni possible bila kiwandan)
Unachoweza kufanya ni kuchakachua modem kati ya hizi 3 sasatel, ttcl na zantel zitumie line ya cdma
Mpaka sasa ni mtandao mmoja tu tanzania unaotoa huduma za line za cdma ambao ni zantel na line wanauza shilling elfu 10 moja
So unaweza chakachua ttcl au sasatel utumie zantel (ila mimi sion kama ni busara).
Cost ya kuchakachua na line ya elf 10 ni bora ununue modem ya zantel elf 20
Yani hapo ni kama mnashauriana gari lenu litaendaje zanzibar na lipite juu ya maji