Mkuu nimefika.
Sawa. Hebu subiri niyaangalie.Mkuu,mleta mada anahitaji tafsiri ya maneno aliyoyatoa kwa lugha yakisukuma,atafsiriwe kwa lugha yakiswahili.
Anasema "acheni kutusema wasukuma washamba, kila mara mnatutania sie washamba kwani hakuna makabila mengine, mbona sisi hatuwaambii ushamba?"Mkuu,mleta mada anahitaji tafsiri ya maneno aliyoyatoa kwa lugha yakisukuma,atafsiriwe kwa lugha yakiswahili.
Umeandika kwa kuchapia mno, inachanganya ssanaLekangishi ukwikala mutuhaya tulimbasha mangosha nimbule umbise tutamuyomba ishitwa shimo mbangosha
Moye mbangosha ukuimilela makabila kila siku yambizile masukum nduhu ambakuhoyelwa umu ulutinamayo kwahgana umu walala nduhu
Asante sana ndugu yangu.Anasema "acheni kutusema wasukuma washamba, kila mara mnatutania sie washamba kwani hakuna makabila mengine, mbona sisi hatuwaambii ushamba?"