zilikuwa ni hisia tu..... Bila shaka ww ni mwanamke ila ungekuwa mwanaume usingeuliza swali kama hilo...... Usiulize maswali ya kitoto wakat ulishabarehe
halafu namshangaa mrusha uzi huu, darasa la nne kwa utaratibu wa kawaida atakuwa alikuwa hazidi miaka 12. kwa hiyo miaka 12 akaanza kupenda ..... huyu lazima atakuwa majanga kwa kupenda nyu,chiSasa wanawake hapo tumefanya nini?
Mganga alikua mwanamke?
Au kuna part two(mwendelezo wa hadithi yako)?
Wewe hizi hadithi unazoleta humu ni za kikubwa?
mkuu kama hujaipenda kwan lazma utoe coment? Hiki nilichokieleza ni kisa cha kweli.
Kama imekuboa kaa kimya sio unaleta mambo yako hapa.
Unajua leo wikeend unaleta pumba nitakuripukia hapa ohoo!!
hahahaaa! Mkuu hebu ni pm namba ya dada yako uone