Jamani wanajamvi woote, messege yenu hiyo toka kwa Pearl

nimeamini mapenzi ya kweli huweza kuvunja majabari..
maana pearl yuko mbali nasi lkn mapenz ya akili kwake yanasaidia tunakuwa naye karibu.
akili kazi unayoifanya inaonesha level ya penzi lako kwa pmrembo wetu pearl.
mwambie tunamiss makeke yake!!
 
pearl sayz

jamani cheusi mangala"huwa najivunia ninapo sikia heshima na upole wangu kwa watu kama ww,nawamiss sana mpz yani kuwa mbali na nyie ni pigo kubwa sana moyoni ,usijali mpz Akili ana fanya niwe pamoja daima na nyinyi,nawapenda sana kwakweli nawamiss kuzidi maelezo.love u my black beuty queen
 
"jamani hata sijui niwaambieaje nawapenda sana tena sana kwakweli na nitawamiss sana. Nitakosekana jamvini kwa muda usiojulikana kutokana na matatizo ya it hapa ofisini kwetu. Naomba mtuombee turejee hewani as soon as possible tuendeleze jamvi letu"

hiyo ndiyo kauli ya mwenzetu, ......... Mwenye ujumbe wowote kwake aupitishe kwangu utamfikia immediatelly...... Na nitahakikisha anaona post zenu zote na any feedback nitaziwasilisha on time........ Thanks bros and sists....................
mungu awasaidie murejee hewani haraka zaidi.
 
AK, hebu niambie hivi pearl rangi na muonekano wake unafanana je? I always get the pearl virtual in my vision when i try figure out of her!!!
 
ha ha ha hii ndo raha ya JF ya kutmia avatar!! yani unakua na marafiki kibao ila una imagine tu jinsi walivyo kutokana na post zao...sio ka facebook unaclick unaona pic then unajua yupo vp!
 
Nimeipenda sana avatar yako hommie. Lakini ile ya Pearl, njoo nikuapie kwa miungu ya mangi meli, ile ni picha yake halisi. Kama vipi unaweza uka do the needful ukadumisha naye zile mila zetu:D:D!!!!!!!!!!!
 
AK, hebu niambie hivi pearl rangi na muonekano wake unafanana je? I always get the pearl virtual in my vision when i try figure out of her!!!

hahaha mpendwa............ pearl ni "pearl" kweli!!!!!!!!!!!!!....... sina hakika kama umewahi kuiona lulu, lakini ni lulu hasa si utani, rangi na muonekano wake utadhani ni vile vitu tunaita "tailored to the need of the uza" yaani utadhani nilipeleka specification kwa muumba wake..............

ukimuona.......... hakika utamkubali alivyoumbika.............. nitajitahidi nisikusahau kwenye tukio la mtoto pearl kupigwa pingu za maisha....... haaha........ siku hiyo utajionea mwenyewe,,,,,,,, Glory to God................
 
jamani hata sijui niwaambieaje nawapenda sana tena sana kwakweli na nitawamiss sana. nitakosekana jamvini kwa muda usiojulikana kutokana na matatizo ya IT hapa ofisini kwetu. naomba mtuombee turejee hewani as soon as possible tuendeleze jamvi letu

Afanye kazi na asiwe anatumia facilities za ofisini kwa manufaa yake mfano JF. Huu ni ufisadi wa muda wa mwajili wake. Mfikishie huu ujumbe nitamiss PM zake na kule kwenye facebook.nitaongea naye jioni labda kama na simu yake imefulia! LOL
Masa K
 
Naona ile rehabilitation imeanza kuonyesha matunda....!
 
Nimeipenda sana avatar yako hommie. Lakini ile ya Pearl, njoo nikuapie kwa miungu ya mangi meli, ile ni picha yake halisi. Kama vipi unaweza uka do the needful ukadumisha naye zile mila zetu:D:D!!!!!!!!!!!
ha ha ha hommie kwenye chaki hapo panahusika zaidi.... nime do the needful!!
 
Afanye kazi na asiwe anatumia facilities za ofisini kwa manufaa yake mfano JF. Huu ni ufisadi wa muda wa mwajili wake. Mfikishie huu ujumbe nitamiss PM zake na kule kwenye facebook.nitaongea naye jioni labda kama na simu yake imefulia! LOL
Masa K

pearl saiz

ah ah ah masa ushidwe kabisa kwani nilikuwa sifanyi kazi?but nitakumiss sana yani inabidi sasa ni konnect hme,unataka kumrusha roho Akili?
 
Nimeipenda sana avatar yako hommie. Lakini ile ya Pearl, njoo nikuapie kwa miungu ya mangi meli, ile ni picha yake halisi. Kama vipi unaweza uka do the needful ukadumisha naye zile mila zetu:D:D!!!!!!!!!!!

pearl saiz

xpin tena nyamaza simu yako yenyewe kila siku haina hela mpaka mm nikupigie?nimekuacha rasmi
 
Vp AK naweza kwenda kumsaidia?
Najua hata nikiomba maombi yangu hayawezi mfikia labda tuonane ana kwa ana ndo nitatua tatizo lake.
 
wakati nyie mnaongea ongea tu bila matendo, mi tayari nshanunua modem ya Zantel hapa, jioni nampelekea aliendeleze libeneke!

AK utabaki kuwa mesenja tu mpaka mida ya jioni.
 
Back
Top Bottom