Jamani wakina dada tulieni basiii!!!

Jamani wakina dada tulieni basiii!!!

Mbona iko clear dada angu!!!nimesema wadada wa ofisini kwetu...au hujapaona??hamuhusiki chochote nyie wa Jf,lakini kuna wengine wamo humu na wanayaona haya maofisini kwao!!!

So kama ni wadada wa ofisini kwenu why ulete huku? ushauri wangu ni kuwavaa na uwatel live....hii meseji ni nzuri sana ila haiko mahala husika
 
Wasichana wengi sana hasa wakishakuwa above 32 basi wanakata tamaa kwamba hawatapata wenza wa maisha sasa wanachokifanya ni kutafuta bwana mwenye hela amnunulie gari na amjengee nyumba then wanatafuta mvulana ambae yupo desperate wanatangaza ndoa.Na wengine ambao wapo above 32 nao wanaona hawaoleki wanaamua kugawa kwa commission na malengo yao fulani ili wayatimize mwisho wa siku aseme ooooh wanaume wananiogopa kwa kuwa nadrive ama nina nyumba kumbe waaaaaaapi
 
He he he, hakuna wanamme wanajua kulia lia kama waghana
Kama una rinho ndogo kyupi kitakuvuka tu

Anaweza kuambia kwao wote wameshakufa, na wewe ndio familia anayoitegemea kuanza nayo maisha. kumbe ana mke na vimada 100 na watoto thelathini. I have seen them samwhere.
Afu wanapenda, i will teke you to Canada au USA.

Majany, wee waache tu, umri utawaelewesha.
 
Kiukweli it's fuuny kuwaona jinsi wanavyojipitisha na kupata taabu......dah....

Hapa ofisini kwetu yametokea mabadiliko ya 'top management',ambao walikua ni Managing Director na Chief Operations Officer.Hawa wanaoondoka,mmoja wao alikua M'Ghana,na mwingine alikua Mnigeria,sio siri,wamepiga kazi hawa jamaa....sio kazi kwa maana ya kazi za ofisini!!!la hasha,wakina dada wengi wa hapa ofisini wamegegedwa na hawa jamaa...
Mungu si Mwigulu bana,Group management wamefanya re'location ya mabosi woote,na hawa wa hapa kwetu wamepelekwa sehmu tofauti,na jamaa wapyaaa wameletwa kutoka sehemu tofauti pia.Basi wale wakinadada waliogegedwa,ni full kujipendekeza,mara wamkoogee chai bosi ilihali secretary yupo....ni full raha kwa sie washuhudiaji....
Nawaombeni tu jaman,hebu mjaribu kuwa wagumu kidogo,mtagegedwa,hicho mnacholilia hamtapata............
Worse enough hawa jamaa ni west africans,nahii dada zetu wanaipata kisawa sawa...manake MANDINGO nae ni wa kutoka huko huko.......:hand::hand::hand:
cc lara 1 Kongosho,Mchungaji aliyeasi Bujibuji

Kwani hao akina dada wanalazimishwa kugegedwa. Wewe nini kinakukera? Acha kufuatilia maisha ya watu. Waache wale maisha kwa raha zao.
 
Hii ntaiweka kwenye signature yangu kwenye siku za usoni........!!!hahahaaaaa
 
Kiukweli it's fuuny kuwaona jinsi wanavyojipitisha na kupata taabu......dah....

Hapa ofisini kwetu yametokea mabadiliko ya 'top management',ambao walikua ni Managing Director na Chief Operations Officer.Hawa wanaoondoka,mmoja wao alikua M'Ghana,na mwingine alikua Mnigeria,sio siri,wamepiga kazi hawa jamaa....sio kazi kwa maana ya kazi za ofisini!!!la hasha,wakina dada wengi wa hapa ofisini wamegegedwa na hawa jamaa...
Mungu si Mwigulu bana,Group management wamefanya re'location ya mabosi woote,na hawa wa hapa kwetu wamepelekwa sehmu tofauti,na jamaa wapyaaa wameletwa kutoka sehemu tofauti pia.Basi wale wakinadada waliogegedwa,ni full kujipendekeza,mara wamkoogee chai bosi ilihali secretary yupo....ni full raha kwa sie washuhudiaji....
Nawaombeni tu jaman,hebu mjaribu kuwa wagumu kidogo,mtagegedwa,hicho mnacholilia hamtapata............
Worse enough hawa jamaa ni west africans,nahii dada zetu wanaipata kisawa sawa...manake MANDINGO nae ni wa kutoka huko huko.......:hand::hand::hand:
cc lara 1 Kongosho,Mchungaji aliyeasi Bujibuji
ni bora anayekukosoa kuliko anayekusema pembeni hivyo naamini these it could have been better kama ujumbe huu ungewafikia walengwa.
 
Back
Top Bottom